china

  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina asema kinachoenezwa na Tanzania kuhusu bandari ya Bagamoyo ni uongo

    Asema asllimia kubwa ya sababu ambazo Tanzania ilitumia kubamiza mradi ni uwongo maana hazijawahi kujadiliwa kwenye kikao chochote au siku yoyote. --------------------------------- China’s largest port operator has accused the government of Tanzania of spreading “false information” and...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi, ipi tofauti ya ubora kwenye Gypsum?

    Wakuu!! Kuna hizi Gypsum, ni teknolojia mpya tofauti kabisa na siling boards tulizozizoea. Naomba kujulishwa, kuna tofauti gani ya ubora kati ya Gypsum ya Tanzania( inayouzwa Tsh 13,500/-), China (Tsh 15,000), Kenya (Tsh 15,000), Malaysia (Tsh 18,000) na Touch boards za kampuni ya Ando (Tsh...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania China yazindua 5G technology nchi nzima. Mitandao yote ya simu kutoa 5G kuanzia Ijumaa

    Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Only one Kenyan company makes the cut for China avocado sales

    October 30, 2019 Nairobi, Kenya Months after Kenya signed a deal to export avocados to China, a shocking revelation has emerged showing that only 1 out of every 100 companies can actually export the products to the emerging super power. Out of over 100 firms, only one has met the requirements...
  5. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa China Jack Ma kupambana kimasumbwi na bondia Floyd Mayweather Jr

    Naona mzee Jack Ma, baada ya kustaafu na kuachia ngazi kwenye kampuni yake ya Alibaba, na kupewa masomo ya "boxing" na Bw. Manny Pacquiao yupo tayari kuingia kwenye ringi na "legend" Floyd Mayweather Jr.! Naombea hii "bout" iwe ya ukweli na vile vile pesa zitakazo patikana ziende kwenye...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na viongozi wa chama tawala cha China Ikulu

    Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China. Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar. Source Eatv habari!
  7. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania supports China on Hong Kong crisis, blames Western media

    Dar es Salaam. The Tanzanian government said on Wednesday October 23 that it supports China’s position in the Asian country’s ongoing dispute with Hong Kong. Justice and Constitutional Affairs minister Augustine Mahiga said this during a dinner hosted by the Chinese embassy to commemorate five...
  8. benjamathayo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Dubai au China kununua simu nipeni maelekezo mliowahi kwenda

    Mabaharia wafanyabiashara nimepata mpunga kidogo kama 20m kwamara yakwanza nataka kwenda dubai au china kununua simu hasa smartphone Nimekuja kwenu kuomba ushauri mliowahi kwenda china au dubai kununua simu au vifaa vyaumeme naomba munieleweshe 1-Gharama zandege kwenda nakurudi 2-Nisehemu ipi...
  9. winnerian

    JamiiForums Tanzania Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls

    Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls Thursday May 23 2019 IN SUMMARY In 2013, Tanzania signed a framework agreement with China Merchants Holdings International to build the port and a special economic zone. But Tanzaia says the conditions given are not economically viable, hence it...
  10. AjiraLeo

    JamiiForums Tanzania HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA - CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20.

    HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20. 📌WANAHITAJIKA WATANZANIA KWENYE VYUO 39 CHINA. 💰SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA ITAKUPA VITU HIVI: ▪Gharama za usafiri ▪Fedha Za Kujikimu ▪Gharama Za Mafunzo ▪Gharama Za Matibabu ▪Utalipiwa Ada ▪Fedha Ya...
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zashindwa kuafikiana kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Ujenzi wakwama

    Serikali imesitisha mazungumzo na wawekezaji katika Bandari ya Bagamoyo, Mradi ambao ungegharimu Tsh. Trillion 23. Wawekezaji katika mradi huo walikuwa ni China Merchant Holdings International Limited (CMHI) na State General Reserve Fund (SFRF) ya Oman. ====== The government admitted yesterday...
  12. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Bilionea wa China Jacky Ma yupo nchini Tanzania

    Wiki Iliyopita nilipokuwa Nasafiri kwenda Serengeti na familia kupitia Mwanza, baada ya kutua na AirTanzania uwanja wa Ndege Mwanza majira ya Saa mbili kasoro Asubuhi...nilivutiwa na ndege moja Private Jet (Pichani)iliyokuwa imepaki pembezoni mwa kiwanja kwa ninavyozifahamu ndege (As Rubani wa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
  14. Papa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wachina wanavyopata viungo vya binadamu kwa ajili ya upandikizaji

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma kitabu kinaitwa The Slaughter: Mass Killings, Organ Harvesting, and China's Secret Solution to Its Dissident Problem. Kitabu hiki kimeandikwa na bwana Ethan Gutmann huyu ni mwandishi wa habari za uchunguzi. Kitabu hiki alikitoa mwaka mmoja baada ya ripoti...
  15. Dive

    JamiiForums Tanzania Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
  16. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China-Tanzania talks over Bagamoyo port project in progress: envoy

    Source: Xinhua 2018-05-20 02:10:55 DAR ES SALAAM, May 19 (Xinhua) -- China said on Saturday good progress was being made on negotiations with the Tanzanian government on the 10 billion U.S. dollars Bagamoyo mega port and special economic zone, paving way for the long-delayed construction work...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo Port construction set to kick off in January 2018. China and Oman to fund the project

    Taarifa hii nimeisikia kwenye kipindi cha magazeti asubuhi ya leo. Kila la heri wakazi wa Bagamoyo ====== Tanzania is finalising negotiations with China and Oman over the construction of Bagamoyo Special Economic Zone (SEZ) and the $10 billion (about Sh22.3 trillion) Bagamoyo Port, a minister...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo Port: Serikali imewapa hisa zote wawekezaji wa Kichina

    Makubaliano ilikuwa ni serikali kufidia wote waliopoteza ardhi ili kupisha mradi. Kwa kugharimia zoezi hilo Tanzania tungepatiwa kiasi fulani cha hisa ktk Bandari hiyo ambayo itakuwa kubwa kuliko zote Afrika Mashariki. Sasa serikali imeshindwa kufanya hivyo na kupelekea kuukabidhi mradi mzima...
  19. Kipilipili

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Habari wana jukwaa, Kumekuwa na ongezeko kubwa la wafanyabishara kutoka Tanzania kwenda China kufanya biashara mbalimbali kama nguo, vipuri vya magari na pikipiki, vifaa vya electronics nk. Najua kuna thread nyingi zimewahi kuzungumzia biashara za China, lakini nimuombe mkuu Invisible...
Back
Top Bottom