china

  1. N

    A BITTER TRUTH: Tanzania sio Kenya. Hili ni dola la kijamaa kama China. Chama Kikuu Cha Kisiasa ni kimoja tu, vingine 18 vilivyobaki vyote visaidizi.!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Karibu sana mnitukane baada ya kumaliza kuisoma thread hii, ila huu ndio ukweli nyie wadogo zangu wa 2000s. Kama Siasa haikuingizii pesa, do it moderately. Abandom activism. Abandon insults and name calling. Usiwe mjinga ukapigwa virugu na Police kwa mtu ambaye hata...
  2. Chizi Maarifa

    China wazidi kupambana kuufuta Uislamu kwao. Waislamu wasema ni afadhali na Marekani

    Hawa jamaa hawachekeshi hata kidogo. Wao hizi Dini mbili hawana mpango nazo kabisa. Misikiti inaharibiwa kila mara huko China. https://www.facebook.com/share/p/1G6Zip52nq/
  3. Yoyo Zhou

    Ushirikiano wa China na Afrika watarajiwa kuleta muundo mpya wa uzalishaji wa viwanda duniani

    Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
  4. X

    Wababe wa dunia wako jijini Shenzhen, China. Kesho wana jambo lao. Stay tuned

    APEC imewakutanisha some of the most powerful men on the planet Lakini jambo kubwa linalosubiriwa si mkutano wenyewe, bali ni the BIG agenda behind closed doors mtu 3, Xi, Putin na Trump Ni masuala gani yatajadiliwa? Global trade, technology, geopolitics, energy, investment au reshaping of the...
  5. Echolima1

    Rais wa Marekani Donald Trump aliwasili China.

    Rais wa Marekani Donald Trump aliwasili China, ambapo alikaribishwa kibinafsi na Xi Jinping. Rais wa China alimsubiri chini ya ndege kwenye zulia jekundu.
  6. Mad Max

    China wameanza kutest ndege ya abiria ya Umeme!

    China wameanza kuitest ndege ya abiria ya Umeme COMAC’s CE-25A, yenye seat 19 range ya Kilometa 400. Ofcoz sio mara yake ya kwanza kuruka, umesharuka mara kadhaa ila ilikua Haina mtu ndani kuofia usalama, hadi walipojiakikishia weekend hii wameruka na mapailot. Kwenye mabawa, badala ya...
  7. Richard

    Maraisi Donald Trump, Vladmir Putin na Xi Jinping watarajiwa kukutana China wiki ijayo katika mkutano wa kihistoria katikati ya mkutano wa Apec

    Viongozi hao watatu wa Dunia Donald Trump, Vladmir Putin na Xi Jinping watarajiwa kukutana mjini Shenzhen nchini China: Picha na AP Maraisi Donald Trump wa Marekani, Vladmir Putin wa Russia na Xi Jinping wa China wiki ijayo watarajiwa kukutana nchini China katikati ya mkutano wa umoja wa nchi...
  8. Mtu Asiyejulikana

    Urusi na China bado zinaiogopa US. Nimeshangaa wanachofanya China na Russia

    Urusi imeshindwa kuondoa utegemezi wa dola ya Marekani (USD) na kuifanya Yuan ya China kuwa sarafu mbadala katika biashara ya kimataifa. Ngoja nieleze kwa lugha rahisi. 1. Urusi ilitaka kufanya nini? Baada ya Marekani na nchi za Magharibi kuiwekea Urusi vikwazo kutokana na vita vya Ukraine...
  9. L

    Mafunzo ya China yafungua ukurasa mpya kwa wanawake wajasiriamali wa Afrika Kusini

    Baada ya karibu miongo miwili katika biashara na safari kadhaa zinazohusiana na kazi nchini China, mjasiriamali wa Afrika Kusini Beauty Sonny, mkurugenzi wa kampuni ya Miradi na Utengenezaji ya Monenebe, inayojihusisha na ukodishaji wa vifaa, amejikuta tena darasani, akijifunza jinsi ya kufanya...
  10. L

    Mafunzo ya STB ya China yaibua ndoto za wanafunzi wa Afrika kuanzisha mashamba yao ya kilimo

    Asubuhi na mapema Benson Phiri anatembea kwenye shamba la mipesheni, huku akiwa anaangalia majani ya mmea wa pesheni kisha akashika polepole kwa mkono wake wa kulia tunda moja lililo mtini, na kusema “angalia tunda hili linakaribia kuwiva”. Benson Phiri (28) ni mwanafunzi kutoka Malawi ambaye...
  11. L

    Opera ya Wu ya China yajenga daraja la kitamaduni nchini Zimbabwe

    Wasanii wa Opera ya Wu, wakiwa wamevalia mavazi ya kuvutia na ya rangi angavu, walihuisha mila za kale za opera ya China mjini Harare, nchini Zimbabwe. Waliwavutia watazamaji kwa ishara, sauti za kuvutia, na kungfu. Onyesho hilo lilihusisha kazi maridadi za asili za Opera ya Wu, zikiwemo "Mungu...
  12. Pdidy

    Waziri husika nakuomba kuchunguza makampuni ya China ya afya kutoa huduma bila wataalamu wenye sifa

    WAZIRI HUSIKA AOMBWA KUCHUNGUZA MAKAMPUNI YA AFYA YANAYODAIWA KUTOA HUDUMA BILA WATAALAMU WENYE SIFA Kwa heshima na taadhima, Mheshimiwa Waziri husika, naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kwa sasa, kuna makampuni mengi ya afya yaliyojitokeza katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam...
  13. L

    China yasaini makubaliano na Ethiopia kuhakikisha uendelevu na uaminifu wa reli ya Ethiopia-Djibouti

    China imesaini makubaliano ya msaada wa kifedha wa dola milioni 15 za kimarekani kwa ajili ya reli ya Ethiopia-Djibouti, mradi ambao ilishiriki kwa kiasi kikubwa katika ujenzi wake, jambo linaloonyesha kuwa msaada wake kwa Ethiopia unakwenda zaidi ya maendeleo ya miundombinu ya mara moja tu...
  14. Yoyo Zhou

    CIIE yasaidia bidhaa za Afrika kupata nafasi imara zaidi katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamefunguliwa hivi karibuni mjini Shanghai, yakivutia idadi kubwa ya makampuni na wafanyabiashara kutoka Afrika. Katika siku ya kwanza ya maonesho hayo, Kampuni ya kuchakata kakao ya Ghana ilipata oda ya tani 250 za kakao yenye thamani...
  15. Yoyo Zhou

    Sababu ya Chama cha Kikomunisti cha China kinafanikiwa kupitia kikao kimoja

    Hivi karibuni, wajumbe kutoka vyama vya siasa vya vya nchi mbalimbali walifanya ziara hapa Beijing, ambapo walitembelea majumba ya makumbusho ya historia ya Chama cha Kikomunisti cha China. Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nepal, Madhav Kumar Nepal, amesema falsafa ya rais wa China Xi Jinping kuhusu...
  16. N

    UN VETO ABSTENTION: Kwanini Russia na China walimtenga Gaddafi?? Hawakuwa na maslahi naye (Super Powers Politics??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Swali langu mimi ni hilo tu. Zingatia sana jina langu.
  17. K

    Tunakurahisishia kufanya malipo kwa Supplier wako China

    Usihangaike na malipo ya supplier wako nchini China! Tupo kukurahisishia kufanya malipo kwa urahisi, haraka na kwa utaratibu unaoeleweka. Malipo ya supplier China kwa urahisi Huduma ya kuaminika na yenye weledi Mawasiliano ya wazi katika kila hatua Tunakusaidia kufanya biashara bila usumbufu...
  18. Think2

    China kuanzisha sheria mpya ya taraka

    China inampango wa kuanzisha sheria mpya ya talaka ambayo hakutakuwa na mgawanyo wa mali kwa 50/50 bali kila mtu atachukua alichokitafuta mwenyewe. In africa girls bring their nyashi and wants to get mansion,car wachina wako mbele ya muda
  19. Whackiest

    China scholarship

    Wakuu kwema kwa tunaohitaji kwenda kula shule nje karibuni tujiunge huku kiunganishi hili hapa Scholarship china
  20. Fascinating

    China sasa ndiyo mbabe mpya wa mafuta duniani

    Sahau kuhusu OPEC; Chama cha Kikomunisti cha China (CCP) ndicho kinapanga Sera za Mafuta. Tanzania tumeanza kuiga lakini vikwazo ni vingi. VITA ya Iran imesababisha mtikisiko mkubwa zaidi wa upatikanaji wa nishati ya mafuta katika historia. Hata hivyo, hata wakati mapigano yalipokuwa makali...
Back
Top Bottom