china

  1. L

    Shughuli za mwaka wa mawasiliano ya watu kati ya China na Afrika zaendelea katika hali motomoto

    Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni, ni uzinduzi wa sehemu ya sita Maonyesho la Filamu Bora za Kichina na Vipindi vya Televisheni...
  2. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya nishati mpya wahimiza maendeleo ya Afrika

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
  3. L

    Kongani za viwanda, zawa hatua muhimu kwenye kuhimiza ushirikiano kati ya China na Afrika

    Moja kati ya misemo ya China inayofahamika sana duniani ni kuwa, njia nzuri zaidi ya kumsaidia mtu mwenye njaa, ni kumfundisha namna ya kuvua samaki, kwani njia hiyo ni endelevu zaidi kuliko kumpatia mtu samaki. Uzuri wa China ni kuwa kauli zake huwa zinafuatana na vitendo, na hiki ndicho...
  4. X

    WALIKIMBIA CHINA KUKWEPA TARIFFS, LAKINI MWISHO WA SIKU WANARUDI TENA CHINA

    Wakati wa vita vya tariffs vilivyoanzishwa na Trump dhidi ya China mwaka 2024, baadhi ya kampuni zilihamisha uzalishaji China na kwenda mataifa kama Vietnam, Indonesia na India. Hatimaye wamegundua kuwa Trump aliwapeleka chaka wamelazimika kurudi tena China. Companies left China to dodge...
  5. X

    Marekani yaogopa kasi ya China kwenye AI, yaomba kasi ya AI ipunguzwe. China imekataa!

    Baadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI. Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua. Jibu la China...
  6. d coy++++

    Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T) 3. Generators ( 17kva - 550kva ) 4. Wheel loaders ( 3T & 5T) 5. Excavators...
  7. Iris154712

    Unatafuta Mitambo ya Ujenzi kutoka China? Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Utapeli

    Salamu zenu, wenzangu. Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu? Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
  8. Yoyo Zhou

    China inatekeleza sera ya kidiplomasia ya Mkahawa wa Dragoni?

    Gazeti la The Economist la Uingereza hivi karibuni lilitoa ripoti kuhusu filamu ya China ‘Karibu kwenye Mkahawa wa Dragoni’, ikisema China inatekeleza sera ya kidiplomasia ya Mkahawa wa Dragoni, maana yake ni kwamba China inazingatia zaidi mambo ya kiuchumi na maisha ya watu. Ukweli ni...
  9. Mad Max

    My 6 Dream Sedans kutoka Japan, USA na China!

    Kila mtu ana mapenzi yake, me napenda sana sedans. Kusema kweli hizi hapa ndio list ya sedans ninazozipenda. 1. Honda Accord 2023 au Insight 2022 (Japanese) Hizi ndio cheaper option. Mil 20-40 pamoja na TRA unaweza kupata. Sema Accord iyo expensive. Hybrid, New Technology, Reliable...
  10. Mmawia

    HONGERA SANA URUSI,HONGERA SANA IRAN,HONGERA SANA N.KOREA,HONGERA SANA CHINA.

    Mmawia tena nimeibuka mshindi pamoja na wale tuliokuwa/ tunao endelea kukubali sana Urusi dhidi ya USA. Mwanzoni kabisa mwa Vita kati ya Urus na chawa wa USA nchi ya Ukraine nilisema au tulisema kuwa kwenye hii Vita Urus watatoka kidedea. Leo hii tumeshuhudia kuwa Urusi kaibuka mshindi kwani...
  11. CardoVerli

    Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  12. Pdidy

    MSITAPELIWE NA HII KAMPUN INAJITA RICHMOTORS MIKOCHEN AMA AGUZA NASI CHINA MADADA NIKICHOKIONA NIMEWAONEA HURUMA HAWANA OFISI UTALIZWA

    ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
  13. Yoda

    China yaanzisha utaratibu wa kuwasherehekea wanasayansi kwenye mbao za matangazo

    Wakati watawala wetu wanahangaika na kina Pipitida, Mwijaku na Dotto Magari Wachina wao wameuamua kuwatrendisha wanasayansi ili kuwahamasisha watoto na vijana wao kujikita kwenye Sayansi zaidi.
  14. Zack Abdul

    Rais Samia China Kilele cha FOCAC

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 03 Septemba 2024 — Ziara ya China na ushiriki FOCAC Tarehe 03 Septemba 2024, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan aliwasili Beijing, China, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa FOCAC (China–Africa Cooperation). ▪︎ Hili ni tukio muhimu kwa kumbukumbu...
  15. Yoyo Zhou

    Umeme wa jua wazidi umeme wa makaa ya mawe nchini China

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Nishati ya Kitaifa ya China zinaonesha kuwa, uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua nchini China umefikia kilowati bilioni 1.286, ukizidi uwezo wa kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwa mara ya kwanza, na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha umeme...
  16. Carlos The Jackal

    CCP ya China, ingekaliwa na watu wajinga wàjinga Vilaza, China ingekua kama Tanzania ya Leo !!.

    Unakuta Kuna Jamaa CCM akiongea, anasema 'Sisi tuko kama Wachina". Pumbafu kabisa, Hivi ukiitazama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yà CCM Kuna mwenye Akili pale? Mtu ambaye anaweza kuleta Maono yake na yakafanyika kweli??. Kamati imejaa watu mbumbumbu, Et Chatanda ?? Wasira, Samia, Kawaida... ...
  17. Roving Journalist

    Wizara: Ubalozi wa China umesema hakuna vikwazo vya kisera kwa Watanzania wanaoomba visa za China

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania zimeendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa umma kuhusu mchakato wa maombi ya visa za...
  18. L

    China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  19. Jannatul Firdaus

    China yaanza kutumia roboti kuongoza magari barabarani

    China imeanza majaribio ya kutumia roboti kwa ajili ya shughuli za barabarani ikiwa ni pamoja na kuongoza magari. Hata hivyo roboti hao hawana mamlaka ya kumkamata mtu pale anapokosea au kukiuka sheria. Maroboti hayo yamepelekwa hasa kwenye makutano yenye shughuli nyingi ya barabara katika jiji...
  20. Yoyo Zhou

    Polisi wa China wapata umaarufu tena kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii

    Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
Back
Top Bottom