china

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa China wakamatwa kwa kumcharaza viboko mfanyakazi aliyefika ofisini kwa kuchelewa

    Raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi baada ya video kusambaa katika mitandao ya kijamii ikiwaonesha wakimchapa viboko Mkenya. Inasemekana kwamba Wchina hao wafanyakazi wa mgahawa mmoja uliopo jijini Nairobi, alinaswa akimchapa mfanyakazi Raia wa Kenya kupitia kamera kwa madai ya kufika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala: Sekta ya utalii hatutafikia malengo ya mapato, itabidi tujipange upya virusi vya korona huko China vimetuangusha

    Waziri wa mali asili na utalii Dr Kigwangalla amesema wizara yake na wadau wote wa utalii ni lazima wajipange upya kimkakati kwani ugonjwa wa Corona huko China umewafanya washindwe kufikia malengo. Naye mtendaji mkuu wa Tanapa Dr Kijaxi amesema mapato ya utalii yameshuka baada ya watalii...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  4. hayaland

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Marekani amepandikiza virusi vya Corona ili kuishusha China kiuchumi?

    Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake. Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kofia ya CCM China

    Kofia ya CCM Nchini China Naleta picha ya ujumbe wa CCM kwenye kikao na wenyeji wao mjini Shanghai, China, mwaka 2018. Hapo mezani upande wa kushoto kuna kofia ya CCM. Yawezekana walikwenda ziarani na magwanda yao na vikofia. Je, kuna sababu gani mimi kuandika ujumbe kuhusu kofia? Sina jambo la...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Utafiti: China yadaiwa kuwa taifa la pili kwa uuzaji silaha ulimwenguni

    Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI ya mjini Stockholm imeonyesha China ni taifa la pili kwa uuzaji silaha ulimwenguni, likiwa na makampuni manne yanayoingiza mapato makubwa ya mauzo ya silaha. Makampuni hayo manne ambayo ni pamoja na kampuni kubwa kabisa ya kutengeneza...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania China: Mji wa Wuhan kulikoanzia virusi vya Corona kujenga Hospitali kwa siku 6 kusaidia katika kutibu Ugonjwa huo

    Mji wa Wuhan unaharakisha kujenga Hospitali mpya kusaidia kutibu Wagonjwa waliokumbwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu 80 na zaidi ya 870 wameambukizwa nchini humo Kusambaa kwa virus hivyo kulianzia kwenye Mji huo ambapo sasa Madaktari wanasema Waathirika wanapanga foleni kwa muda...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane! Kosa linakuwa wapi kununua mtandaoni?

    Wiki Iliyopita nimepigiwa simu na Rafiki yangu akihitaji msaada namna ninavyoweza kupata suluhisho ya jambo limetokea kwenye kampuni "Y" ambayo ni ya rafiki yake juu ya manunuzi waliyofanya mtandaoni. Case ilikua kama hivi, Kampuni Y ya Tanzania ilikua inahitaji kemikali yenye form ya powder...
  9. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Virusi vya Corona - China

    CORONA VIRUS ni virusi vinavyotokea kwenye familia iitwayo Coronaviridae, na vimepewa jina hilo kutokana na muonekano wake wa "Crown-like projection" chini ya light microscope. Virusi hivi vinaathiri moja kwa moja mfumo wa upumuaji wa binadamu ambapo huweza kupelekea matatizo kwenye mfumo wa...
  10. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Liverpool huenda ikakosa kutwaa ubingwa EPL kutokana na mafua ya China

    Mzuqa wanajamvi! Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo China. Huu ungonjwa unasambaa kwa kasi ya ajabu na kwa muda wa miezi miwili tu itaambukiza mamilioni...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania China yasitisha usafiri wa umma katika mkoa wa Wuhan kudhibiti Virusi Corona

    China imefanya maamuzi magumu ya kusitisha usafiri wa umma hasa katika mkoa wa Wuhan, unaokaliwa na watu karibu milioni tisa, wakati wa mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Corona. Watu wanaoishi katika jiji hilo wameambiwa wasiondoke nje ya mji huo, na uwanja wa ndege na vituo vya treni vitafungwa...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa nini haihamasishi mauzo ya nyama ya punda China wakati soko liko kubwa mno?

    China nyama ya punda na ngozi za punda zina soko kubwa mno. Kwanini serikali haihamasishi ufugaji mkubwa wa punda Tanzania na kuanzisha minada ya punda?
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania China yatajwa kuwa nchi hatari kwa Haki za Binadamu Duniani

    Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake Mjini New York Marekani Human Rights Watch, limesema China inaweka mikakati ya kuidhoofisha mifumo ya kulinda haki za binadamu duniani kote. Shirika hilo limeyasema haya leo tarehe 15/01/2020 Jumatano katika uzinduzi wa ripoti yake ya...
  14. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania VIDEO: At least six dead after huge sinkhole in China swallows bus and pedestrians

    Footage on state TV shows the vehicle disappearing inside the sinkhole in the city of Xining as people run away Photo: Chinese rescuers prepare to lift a bus out of the ground after the road collapse in Xining. Photograph: STR/AFP via Getty Images An enormous sinkhole has swallowed a bus and...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiondoa china kwenye viwango vya nchi wadhibiti wa ubadilishaji fedha

    Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha. Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi mshirika wa kibiashara wa Marekani anayefikia vigezo vya kisheria vya kudhibiti thamani ya sarafu yake...
  16. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Raia wawili wa China wakamatwa wakipiga picha kambi ya jeshi la Marekani

    Shirika la upelelezi nchini Marekani, FBI liliwakamata raia wawili wa China mwishoni mwa juma kwa kosa la kupiga picha kinyume cha sheria kambi ya Jeshi la majini la Marekani huko Florida. Hili ni tukio la pili kufichuliwa na mamlaka hiyo, matukio ambayo yamekuwa yakitekelezwa na raia wa China...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

    Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya uchumi wa dunia 2020 kuwa madogo huku uchumi wa China ukitarajiwa kuporomoka

    Benki ya Dunia imesema ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu unakadiriwa kufikia asilimia 2.5, ikilinganishwa na asilimia 2.4 ya mwaka jana, licha ya kuendelea kuwepo kwa hatari ya kushuka. Ripoti mpya kuhusu mustakbali wa uchumi wa dunia inayotolewa kila baada ya nusu mwaka na Benki ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wana JF, Karibuni China bar tegeta tule bata

    HABARI za muda huu wana JF Leo niko hapa China bar tegeta nakula bata, Kama Uko karibu Njoo tujumuike na kula bata, I. e Kunywa bia, kucheze music na totoz zilizopo hapa China bar, Maana naona warembo wazuri balaa! Karibuni wana JF tule bata
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunawezaje/tufanye nini ili kufaidika na ukuaji wa uchumi wa China?

    Ni hao wakuu. Wandugu uchumi wa China na ukuaji wake ni jambo la kuogopesha sana kwa ukubwa wake. Miaka michache ijayo China itaongoza kiuchumi karibu kwenye kila sekta. Kwa huo uchumi mkubwa China amekuwa mtumiaji mkubwa wa malighafi duniani . Pia ukuwaji huo umetengeneza mamilioni ya...
Back
Top Bottom