Naona ATCL wameamua kwamba wataenda China kupitia Bangkok, Thailand Bangkok. Njia hii ina ushindani sana, haitakuwa na faida kwao kupitia Bangkok na kushindana na mashirika makubwa ambayo yameweka mizizi sana kwenda au kupitia Bangkok pamoja na Ethiopian Airways and Kenya Airways.
Ninawashauri...
Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy kwa kifupi yupo Corona positive.
At the moment nahisi jambo pia tumekutana in two weeks, personally najiweka quarantine nione majibu.
Huu ni ujumbe wake wa mwisho.
"🇨🇳🙏🏽...it wasn’t easy leave my family in that way 🥺 I do miss them a lot and...
1. Mbinu za kijeshi za wakati wa vita zinatumika, kama vile kufungia ndani kwa kufuli maalum wasthirika wa corona wasitoke
2. Kupeleka waathirika kwenye makambi maalum yaliyotengenezwa
3. kubadiri viwanja vya michezo na mabweni ya shule kuwa vituo maalum vya karantini
4. Kukamata wasiovaa...
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje.
Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani.
Source Star tv!
Rafiki wa kweli ni wakati wa shida .
=====
SERIKALI ya China imeshukuru utayari wa Serikali ya Tanzania wa kutaka kuwapeleka madaktari nchini humo, kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19).
Aidha, imewatoa hofu Watanzania kuhusu changamoto za...
Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote.
Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana.
Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
Kwa mara nyingine tena shirika la ndege la Ethiopia limekataa kusitisha safari zake za ndege kwenda nchini China, licha ya kuwepo kwa shinkizo la kulitaka kufanya hivyo kutokana na mlipuko wa virusi vya corona.
Mkurugenzi wa shirika hilo Tewolde Gebremariam amesema kuwa, kusitisha safari za...
Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.
Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.
Hii hali...
February 27, 2020
Nairobi, Kenya
A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi, Kenya bringing with it a fresh concern about coronavirus. A whistleblower who took a video of this aeroplane from China said that there are no...
Wanyama hawa ambao ni haramu hata kibibilia wamesadikiwa kuchochea janga hili.
Pia wanamkakati wa kuongeza list zaidi ya wanyama mwitu,kufugwa na watambaao.
Tabia ya kulakula nyama za mwitu akiwemo paka miaka 17 iliyopita ilipelekea vifo vya watu zaidi ya 8000
Source: South China Morning Post...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo hivi karibuni alimaliza ziara nchini Senegal, Angola na Ethiopia na katika Umoja wa Afrika. Hii ni mara yake ya kwanza kufanya ziara katika nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Sahara, katika karibu miaka miwili iliyopita, tangu ateuliwe kuwa Waziri...
Wakati Kenya ikitumiia mabilioni ya shilingi kununua sumu ya kupulizia nzige na kukodi ndege kadhaa, wenzetu China wana wazo lingine kabisa, wao wameamua kuajiri bata laki moja na kuwapeleka eneo la tukio wapambane na nzige.
Watu husema China haijawahi kuishiwa mawazo mapya, hii imedhihirisha...
Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000
China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu...
Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa Nimonia unaosababishwa na virusi vya Corona COVID-19.
Naibu Mkurugenzi wa Kituo cha Taifa cha Maendeleo ya Teknolojia ya Viumbe kilicho chini ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia...
Nyaraka mpya zilizovuja zinaonyesha namna mamlaka za China zinavyotumia teknolojia ya kiwango cha juu kuwafuatilia, kuwatambua na kisha kuwakamata Waislamu wa jamii ya Uighur.
Nyaraka hizo zinatoa taarifa za kwanini watu wanakamatwa na orodha ya wale waliofungwa imeelezea hatma ya watu 311...
Serikali ya China imesema kuwa itazuia matumizi ya fedha za noti (fiat currencies) ikiwa ni njia ya kuzuia ueneaji wa virus hatari vya corona
Serikali imesema pia itazitibu fedha zote katika majimbo yaliyoathirika zaidi na virus vya corona na kuziweka kwenye qurantine kwa muda wa zaidi ya siku...
A Cameroonian student in China by name Senou who was recently diagnosed with the corona virus infection was discharged recently cured of the virus
The doctors were amazed at how the man was still strong even after contracting the virus that has claimed the lives of 1112 lives since the recent...
Leo Februari 11, 2020 Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amezungumza kuhusu video inayowaonesha vijana wa Kitanzania wanaosoma China wakiomba msaada wa kurejeshwa makwao.
Balozi ameeleza kuwa mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi hayo kutokana na kufuata...
Marekani awashtaki wanajeshi ''wadukuzi'' wa Kichina..
Zaidi ya Wamarekani milioni 147 waliathiriwa mwaka 2017 wakati wanaodaiwa kuwa ni wadukuzi, ambao ni wajumbe wa Jeshi la Ukombozi la Wachina (PLA), lilipoiba data mkiwemo majina na anwani
Baadhi ya wateja wa Uingereza na Canada pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.