Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi.
Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika tunatoboa na kusonga mbele na kuacha kuwapigia magoti mabeberu kuwaomba msaada ili hali tuna maligafi...
China Deepens Ties with Africa: What It Means for the Continent’s Economic Future
In a bold move underscoring its commitment to strengthening economic ties, China granted 33 African countries zero tariffs on all their exports to the Chinese market in 2024. This landmark decision not only...
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna...
Rais Donald Trump anatarajiwa kuweka ushuru wa kushangaza wa asilimia 104 kwa bidhaa zote zinazoingia kutoka China kuanzia Jumatano, kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt, aliyezungumza Jumanne.
Awali, China ilikuwa tayari inakabiliwa na ongezeko la asilimia 34 katika...
📅 Kabla ya Aprili 2, 2025
Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 %
📅 Aprili 2, 2025
Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani
📅...
Tumeona china ama-restrict uuzaji wa rare earth metals kwa nchi zote dunia sio marekani tu kama mtu anayepigana naye vita na haya ni maoni yangu ambayo yatakuwa na faida kwa nchi kama yakifanyiwa kazi
Mfano wa rear earth material zilizopo Tanzania
neodymium
praseodymium
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Serikali ya Watu China imezindua mfumo wake wa kufanya malipo GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK na kuukwepa mfumo wa Marekani wa SWIFT ambao Marekani anautumia kama silaha dhidi ya washindani wake kiuchumi na Kijeshi
BIG BREAKING! 🚨💵🪦
CHINA LAUNCHES GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK...
Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
Rais wa marekani Donald Trump amesema
President Trump says he will not make a deal with China unless the trade deficit is solved.
https://x.com/spectatorindex/status/1909022166731141277?t=NKV8PAmCQhY4sLH63OopKQ&s=19
Wakuu mimi sio mchumi ila nimeumia akili za kawaida
Wakati wa utawala wa Clinton kulianzishwa ushirikiano kitu kinaitwa Goa yaani ushirikiano wa USA na nchi zinazoinukia kiuchumi za africa na asia
Hii ilisababisha viwanda vingi kuanzishwa hasa vya nguo vikawa vinatengeneza nguo na kuingiza...
Watengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo.
Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China...
Habari wanajukwaa.
Ninaomba tupeane uzoefu na mawazo kuhusu aina hizi 2 za milango ya Chuma. Ipi ni bora ukilingamisha na mingine.
Strength na weakness za kila milango. Inadumu kwa muda gani na reaction zake linapokuja swala la kutu.
Uimara wa milango yenye na vitasa vyake.
Pia tuangalie na...
Serikali ya Trump imepiga marufuku mahusiano ya mapenzi kati ya wafanyakazi wake walio China na Wachina nchini humo.
Wachina wanamtisha sana mwendawazimu wannabe dictator Trump.
Baada ya uongozi wa Trump jana kutangaza kuongeza tariffs kwa mataifa mbalimbali dunia kutia ndani China, leo pia China nayo imetangaza kuongeza tariffs kwa 34% kwa bidhaa zote za Marekani.
Mwanzoni China ilikuwa ikiongeza tariffs kwa baadhi tu ya bidhaa za Marekani ila tangazo la leo limegusa...
China ni nchi kubwa inayoendelea, na pia ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ikiifuata Marekani. Kutokana na nafasi yake hiyo, China imekuwa mstari wa mbele katika kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira ya nchi husika, huku ikishiriki...
“Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimefikiria namna ya kuongeza kipato changu nikapata njia ya kwenda china ili niwe naagizwa na wabongo wenzangu niwatafutie bidhaa na kuwaagizia, ili walau niwe napata kiasi kidogo cha pesa.
Pia niwe natafuta machimbo ya vitu vya bei rahisi na kuwaonyesha...
Kwa wale ambao mara kadhaa tumesafiri ama kuomba visa ya kwenda China, kuna mabadiliko ya kuomba na kupata visa ya China kuanzia tarehe 31 March 2021.
Hapo awali ilikuwa tunajaza taarifa zetu online na kisha ku-print ile fomu na kuiwasilisha pale ubalozini pamoja na viambatanishi vingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.