Huenda umelisikia sana jina Scott Bessent tangu Trump aingie madarakani hasa wakati huu wa vita vya kiuchumi kati ya Marekani na China.
Huyu ni U.S Treasury Secretary na ndiye mwakilishi anayeongoza jopo la wajumbe wa Marekani katika mikutano ya China na Marekani ya kusuluhisha mzozo wa...
Mi mi sijali CCM mmeanza kuitawala Tanzania kwa muda gani na mtaitawala Tanzania kwa muda gani hata mkiitawala Tanzania kwa miaka 100 kwangu sawa tu.
Shida yangu kwa nini msiwe kama wenzenu CPV ya Vietnam angalia mahali Vietnam walipoitoa na kuamua kufanya Doi Moi leo Vietnam ipo wapi na...
Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme.
Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
Donald Trump's latest threat to impose an additional 100% tariff on Chinese goods is "a typical example of US double standards", China's government has said.
A Commerce Ministry spokesperson also said China could introduce its own unspecified "countermeasures" if the US President carries out...
Maneno kama “Mshiriki mwenye ushawishi mkubwa zaidi katika masuala ya kimataifa”, “Mshirika wa kuaminika”, “China inazidi kuvutia”. Yanasikika zaidi katika zama hizi. Hivi karibuni, hojaji zilizofanywa na mashirika mbalimbali ya kimataifa ya uchunguzi wa maoni zimeonyesha kuwa taswira ya China...
Tanzania na China ni nchi ambazo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao ulioanza tangu enzi na dahari. Uhusiano huu umejengwa katika misingi imara na isiyotikisika, ambapo mbali tu na kujikita kwenye mambo ya diplomasia, pia umeingia hadi katika miradi mbalimbali ya kilimo ambayo inawanufaisha zaidi...
Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri.
Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa, juhudi za Timu za Madaktari wa China katika kushughulikia masuala ya afya barani Afrika si jambo la...
Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
Mwaka 1921 chama cha kikomunisti cha China CPC kilizaliwa rasmi.
Kupitia uonezi uliokuwa ukitendwa na serikali ya Jamhuri ya China chini ya chama tawala Kuomitang KMT na ukoloni uliokuwepo China,chama cha kikomunisti cha China kilianzisha jeshi lake kuzuia hayo na kuikomboa China yote.
1927...
Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao miujiza katika maendeleo.
CODE DMZ:
Kuna chama sasa kinaona kinaelekea kuwa msituni kuangalia upepo wao kuishi madarakani mpaka mayai yao na hiki chama?
Kinachoelekea ni hatari sana.Siwezi kuwa muwazi kuna meri zitakuja na zengine zipo wakizani wanalindwa.
Haya maneno mazito sana na ya kufikirisha. Ina maana Korea, Irani, Russia hawazioni kama ni Mataifa ya hatari kwao hawa Wachina? Huyu Benjamini ana jiamini nini mpaka kutaka tunishiana misuli na China?
Ajue China siyo Iran au Syria au Yemen. Anyway. Nachomkubali Netanyau ni kujiamini kwake na...
Aliyekuwa waziri wa kilimo China ahukumiwa kifo kwa kashfa za hongo
Waziri wa zamani wa Kilimo wa China, Tang Renjian, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishwa kwa miaka miwili, baada ya kupatikana na hatia ya kupokea hongo ya takribani Yuan milioni 268 (sawa na Dola milioni 38 za Marekani)...
Kimbunga kikubwa Ragasa kimeingia nchini China na kusababisha taharuki kubwa, huku watu wapatao milioni mbili wakilazimika kuhamishwa.
Huko Taiwan, takriban watu 17 wamefariki dunia baada ya bwawa la maji kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko makubwa mashariki mwa kisiwa hicho. Wataalamu...
Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Vilichezewa foul bila kujijua kuwafaiddisha wao pekee.
UKOMONISTI NI USHETANI
Wakati China ikielekea kuainisha mipango yake ya maendeleo ya taifa kwa miaka mitano ijayo (2026 hadi 2031) baada ya kumalizika kwa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano wa China (2021-2025), hivi karibuni Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kufikia lengo kuu la kujenga Taifa jumuishi...
Mchoro wa ukutani wenye urefu wa mita 80 unaoonyesha ndege wa taifa wa Uganda, korongo, pamoja na dragon wa China anayeashiria maelewano, ulisimama kama kitovu cha tamasha la jadi lililofanyika hivi majuzi katika Kijiji cha Kasinyi, jamii iliyopo mbali katika Wilaya ya Buliisa magharibi mwa...
Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi.
Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.