chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Z

    Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

    Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema. Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana. Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara...
  2. Naiona CHADEMA ikisambaratika, nani alaumiwe?

    Dola haziangushwi na maadui kutoka nje, historia inatufundisha kuwa Dola huuawa na vita zake za ndani kwanza hatimaye maadaui wanje humalizia kazi. Ndio maana waswahili husema mjenga nchi ni mwananchi, kadhalika mbomoa nchi ni mwananchi. Chama kikubwa kama CHADEMA kilichopitia misukosuko mingi...
  3. Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, Toleo la 2019; Lema ametenda kosa (makosa) ya kinidhamu

    Tuanze kwa kuangalia MAKOSA YA KINIDHAMU kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA (2019). Katiba ya CHADEMA inayoshughulikia nidhamu ni "SURA YA TANO, IBARA YA 7 na IBARA YA 8." IBARA YA 7: NIDHAMU YA WANACHAMA 7.1 - Kila mwanachama ana wajibu wa: (a) Kuitii na kuheshimu Katiba ya CHADEMA. (b)...
  4. CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  5. Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  6. CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza...
  7. R

    Contrary to my expectations, nilidhani Lema atatangaza kujiondoa Chadema

    Ingependeza akaenda CCM awe na amani ambako hawabadiri mbinu. Pumbavu hajaongelea mauaji ya 29.10.2025 anaona sawa tu CHADEMA itumie njia ya amani! Hakuna anayependa fujo hakuna ila circumstances zinawapelwka watu huko.
  8. C

    Hilda Newton: Lema alimuhakikishia usalama John Pambalu akirudi Tanzania ila akaishia kukamatwa na Polisi

    Juzi niliwambia kwamba kuna mtu alimshauri Pambalu arudi Bongo ila sikumtaja huyo mtu nani. Sasa iko hivi, huyo mtu ambae alimshauri Pamablu arudi bongo ni Godbless Lema na yeye ndo alimuhakikishia Pambalu kwamba atakuwa salama alienda mbali zaidi akasema kwamba kazungumza na Mafwele kila kitu...
  9. L

    Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  10. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  11. CHADEMA iwafute uanachama Godbless Lema, Boniyai, Sugu na Mbowe. Wanakiharibu chama

    Ukisikiliza press conference ya leo ya Lema ni wazi chadema wanatakiwa wawafute haraka sana uanachama Lema, mbowe, boniyai na sugu wana-comprimise chama Mimi sio mwanachama wa chadema ila as long hao watu ni wanachama wa chadema watavuruga kisawasawa sababu wanapiga miguu yote Mfano press...
  12. M

    Lema: Ripoti ya Jaji Lila viongozi wengi wa CHADEMA wataishia Jela

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na Wanahabari Jijini Arusha "Wa ulinzi wa usalama wa taifa wakakubaliana waseme hivi waliokufa kwenye vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025 ni watu 518." "Nikawaambia kwa hiyo unafikiri hizo kesi atapewa nani? Wambieni wananchi wenu...
  13. Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  14. M

    Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

    "Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari? Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
  15. Naungana na Lema katika hili; Huwezi jiita jasiri na shujaa wakati uko nje ya nchi wanawasapuza wenzako wakachinjwe na wanyonya damu

    Hamjambo! Mimi Binafsi Lema Simuamini tangu siku ya kwanza nimemwona. Najua hilo halimsumbui hata yeye kwa sababu sio lazima kumuamini mtu. Lema licha ya kutokumuamini ila ni miongoni mwa viongozi wa Chadema ambao ninaweza kusema anaongea kwa hoja. Na mimi mtu anayeongea kwa hoja hata kama...
  16. Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  17. Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  18. F

    Ushauri Kwa CHADEMA kuelekea 6 November 2026

    Leo ni tarehe 1 November 2026 Saa 12:00AM, usiku,Kwa muda wa kitanzania, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu. Ni hivi, Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa...
  19. Lema , Lissu aliyekuteua anataka haki, hataki Upendeleo, CHADEMA haitaki Maridhiano bila Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji, Siasa za kidalali zilikoma Jan 21

    Nimesikia kupitia Mitandao ya Kijamii, Kesho una Kikao na Wananchi !! . Kama ambavyo MBOWE amedharaulika ndivo unaenda kua !!. Je NCHI Hiii Kuna Mwanasiasa ambaye angechagua kua sehemu ya CCM asingelikua Bilionea zaidi ya LISSU? Huyu Lissu huyu angetaka kua Makamo wa Rais Serikali ya Umoja...
  20. Z

    CHADEMA na washirika wake sio tu wanapaswa kuomboleza bali wanapaswa kufanya sala ya toba

    Tusijisahaulishe kuwa viongozi wa Chadema wakishirikiana na washirika wao ndio walio chochea watu kuingia barabarani na kufanya fujo na hatimaye baadhi yao kupoteza maisha, isingekuwa chadema na washirika wao kuchochea huenda hata mtu mmoja asinge kufa. Nakubaliana na Chadema na washirika wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…