chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. CHADEMA wanauvuruga msiba wa Alute, wanaufanya mali yao binafsi

    Ni msiba mkubwa sana kwa Taifa, maana Mzee Alute alikuwa mtumishi wa umma na aliwatumikia wananchi kwa nguvu na moyo wake wote. Lakini sasa disco limeingia mmasai, chadema wameugeuza pahala pa kupumulia, wameuchafua kwelikweli. Wameshindwa kutofautisha kati ya msiba wa Alute na msiba wa Tundu...
  2. J

    CHADEMA imewakosea nini Mjenga na Salma Podcast? Kwanini imegeuka jukwaa la kuishambulia CHADEMA?

    ..Mjenga na Salma walianza vizuri sana na Podcast yao. ..walikuwa wakifanya mahojiano na watu wenye sifa na historia nzuri hapa Tanzania. ..Lakini ghafla wakaanza kuhoji watu wanaoibagaza, na kuishutumu CHADEMA. ..Zimefanyika interview kadhaa bila kutoa nafasi kwa CHADEMA kujitetea. ..Na kwa...
  3. Tundu Lisu na Heche anzisheni Chama chenu achaneni na CHADEMA ukiona vyaelea vimeundwa

    Heche anaitumia Chadema iliyoundwa kwa jasho na damu na Mbowe kwa lengo la kujinufaisha huku akijifanya mpambanaji kumbe ni bonge la Tapeli na mla Rushwa mkubwa
  4. C

    John Heche: Wajibu wa serikali siyo kukomoa watu ili wasalimu amri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema wajibu wa serikali si kukomoa wananchi kwa vitisho, kukamata au kuwafanyia vitendo vya ukandamizaji, bali ni kuhakikisha sheria na taratibu zinafuatwa katika kuendesha nchi. Akizungumza leo Novemba 9...
  5. Mahakama ya Tanzania inatoa haki. CHADEMA wanajua hili ndio maana walipeleka mawakili kwenye kesi ya Lissu

    CHADEMA ni chama cha kulaumu tangu 2000. Chaguzi hazina haki kwakuwa tume si huru lakini wamesahau kuna kipindi bunge lilijaa wabunge wa CHADEMA na vyama vingine. Mahakama haina haki lakini mmoja wao akiyakanyaga tu akifikishwa mahakamani CHADEMA wanajazana kwenye corridor za mahakama. Hakuna...
  6. S

    Hivi kwanini wanataka sana maridhiano na CHADEMA wakati majeshi na mahakama ni vyombo ambayo ni mali yao?

    Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
  7. Nina uhakika Tundu Lissu angeachiwa CHADEMA ingeingia kwenye maridhiano.

    Wakati Serikali ikitumia kumshikilia Tundu Lissu kama njia ya kushinikiza maridhiano, CHADEMA na Lissu wanachukulia kushikiriwa Tundu Lissu kama sababu ya kugomea maridhiano. Kumbe njia ilikuwa rahisi tu ni kumuachia Tundu Lissu halafu unaitisha maridhiano ya kweli ni wazi chadema na lissu...
  8. L

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri Kifungo cha Tundu Lissu Kitawaamsha Usingizini Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanapenda sana Uropokaji mihemko kutukana Matusi na kutoa lugha chafu mbaya na hatari kwa Usalama wa Taifa letu. Walikuwa wanahisi pengine Sheria inaangalia sura ama cheo cha mtu kisiasa...
  9. Kijana Mara: Nilikuwa CHADEMA nimetumiwa vibaya sana na Heche, kwa sasa nataka kurudi CCM

    Kijana ambaye amezaliwa Rorya na akakulia Mara, ametoa changamoto zake anazopitia kwa kusema Nilikuwa CHADEMA nimetumiwa vibaya sana na Heche, kwa sasa nataka kurudi CCM hayo ameyazungumza mbele ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Kwa kifupi ametafuta huruma ya kusaidiwa tu!
  10. Ana maadui wengi ndani ya CCM kuliko hao CHADEMA anaowafunga na kuwakamata hovyo

    Hivi hili nalo lina siri? Hana washauri wa karibu wa kumpa ukweli? Maana hata ishu ya Oktoba 29 mwaka 2025 kuwasingizia CHADEMA ya Lissu kuwa walihusika ni uongo na kutwanga maji kwenye kinu. Kundi lake kiongozi huyu linajulikana kuwa ni wanaMtandao na waovu ambao wanaCCM ambao wanajinasibu...
  11. F

    Chuma hawezi kuridhiana na yeyote, CHADEMA shikilieni hapo hapo!

    Viburi,shingo ngumu tangu lini wakasikiza ushauri wa kujenga? Watu wale wale kina Wasira waliomhadaa Mbowe na akahadaika na kuanza kumpamba kuwa aupiga mwingi , watu hao hawafai Kwa lolote Kwenye meza ya maridhiano. Ashindwe kuridhiana na watu wa chama chake waliopigwa risasi Oct 29, ashindwe...
  12. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  13. J

    PostGE2025 CHADEMA hawataki mazungumzo, wana njia gani ya kushinikiza Dola kumuachia Lissu?

    Miaka minne ni mingi, na CHADEMA wakifanya masihara Tundu Lissu anaweza kufungwa miaka minne kweli na mtaani maisha yakaendelea. Nasema hivyo kwa sababu Tundu Lissu alivyokamatwa hakuna mtu aliyetarajia atakaa mahabusu kwa siku 500, ila ndio hivyo siku 500 zimepita, sababu CHADEMA hawakuwa na...
  14. Wafuasi wa CHADEMA, unapotetea hoja si lazima utangulize tusi. Naona wanachama wenzenu akina Mange na Sativa wameshawaharibu

    Humu jukwani si pahala pa vita ni leta hoja ujibiwe kwa hoja bila kuchopeka matusi. Tunashambuliwa sana na matusi kutoka kwa wafuasi wa chadema hasa tukisema chadema kwa sasa haina mwenyekiti chagueni mwingine kwani ni uongo? Niwaombe tuache matusi tujikite kwenye kujenga hoja.
  15. Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  16. Nani Kumrithi Lisu Uenyekiti Chadema Baada ya Kuhukumiwa jela hivyo Kupoteza Sifa Kwa Mujibu wa Katiba?

    Heche vs Msigwa ila Heche anafaidika na Lissu kuwa jela. Kina Mbowe wanaweza kurudi Kwa kishindo pia,mda utasema.
  17. C

    CHADEMA:Tundu Lissu ataendelea kuwa Mwenyekiti chama

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, ametoa msimamo wa chama hicho akieleza kuwa Tundu Antiphas Lissu bado anatambulika kikamilifu kama Mwenyekiti wa CHADEMA. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam mara baada ya Mahakama kumhukumu Lissu...
  18. Dkt. Nshala: Tundu Lissu bado ni mwenyekiti halali wa CHADEMA

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, ametoa msimamo wa chama hicho akieleza kuwa Tundu Antiphas Lissu bado anatambulika kikamilifu kama Mwenyekiti wa CHADEMA. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam mara baada ya Mahakama kumhukumu Lissu...
  19. Nani atakalia kiti cha mwenyekiti wa CHADEMA?

    Wadau, Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela, swali ni Nani atakuwa na mamlaka ya kuongoza chama katika kipindi hicho? Je, Makamu Mwenyekiti anachukua nafasi hiyo moja kwa moja, au Kamati kuu ya Taifa ina utaratibu mwingine kwa mujibu wa Katiba ya chama? Je...
  20. K

    Yule jaji aliyewahukumu Chadema wakati wa Magufuli baada ya kesi moja tu ni mgojwa mpaka leo

    Nuksi za uonevu nasikia anajuta kila siku! Magu naye hatunaye. Wanao fuata ni hawa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…