Habari wakuu,
Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa.
Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa...