biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Habari, Mtanzania mwana JF, Makadiro ya Kodi ni Kwa kila mlipa kodi. Huwa yanafanyika muda wowote kuanzia tarehe 1,January hadi tarehe 31,March kila mwaka Kwa Yeyote atakae chelewa kufanya makadirio, kwa sasa, siku moja baada ya tarehe 31, March kunachaji(penati) ya Tsh 225,000 kwa KILA mwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao ya kahawa na parachichi

    HESHIMA KWENU WAKUU Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo; 1. Sehemu ya kununua 2. Soko 3. Mtaji 4. Changamoto zake 5. Utaratibu...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kibiashara ( biashara ndogo)

    Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi. Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria). Nahitaji kuanzisha biashara ya uji na maziwa hapa kahama. Hivyo sasa naomba ushauri juu ya biashara hii na mambo ya kuzingatia yote...
  4. JamiiForums Tanzania Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaoanza biashara zingatia haya

    Kijana kama unataka kuanza biashara ili uweze kufika pale unataka hakikisha mambo haya una yazingatia 1.Panga chumba ama jengo la biashara kwa mtu ambaye ni muelwa hii itakusaidia kipindi ukikwama kodi. 2.Kuwa muwazi kwa baadhi ya mambo kwa mmiliki wako wa jengo hili litakusaidia kukuvumilia ...
  6. N

    JamiiForums Tanzania BBT waanza mafunzo, hii ni safari ya kuelekea katika kilimo cha biashara

    Baadhi ya Vijana wa BBT wakiwa katika kituo atamizi cha Bihawana jijini Dodoma, wakiendelea na mafunzo ya uandaaji na uzalishaji wa miche! Gharama yote ya mafunzo ikiwa ni pamoja na chakula na malazi itagharamiwa na serikali na baada ya Miezi 4 washiriki watapewa mashamba na ruzuku kwaajili ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania – Korea kuendelea kuwekeza katika kukuza biashara

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Kim, Sun Pyo ambapo ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania na wadau inaendelea kuweka jitihada katika kuboresha mazingira ya biashara baina ya...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Operator Backhoe Loader na Excavator

    Natafuta kazi ya operator backhoe loader na excavator pia loader kwa yeyote mwenye connection naomba msada
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  10. JamiiForums Tanzania Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  11. JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya Travel agency

    Wadau habari zenu? Naomba msaada tafadhali nataka kuanza biashara ya Travel agency nafanyaje? Mwenye uzoefu au taarifa sahihi na rasmi anisaidie, Kwa muhtasari sijaanza chochote Niko square one. Asanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  14. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Zingatia haya machache katika mengi ili biashara yako iwe na mafanikio

    Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kukusaidia ufanye biashara yako iwe na mafanikio, kama vile: 1. Kufanya utafiti wa kutosha juu ya soko na washindani wako ili uweze kubuni bidhaa au huduma ambazo zinakidhi mahitaji ya wateja wako. 2. Kuwa na mipango thabiti ya kibiashara, pamoja na bajeti...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya Figo inapigwa vita wakati wahitaji wa Figo ni wengi? Figo sio damu watu hawawezi kujitolea bure

    Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo. Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea. Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gesti house/ Lodge

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina nyumba yangu ya kuishi sehemu ilipo nimeona panafaa kufanyika biashara ya lodge/ Gesti hivyo nipo kwenye mpango wa kumtafuta msanifu aje kuiona na kunishauri jinsi ya kuibadilisha kuwa ya biashara tajwa ili kutimiza ndoto zangu za kuwaza...
  19. JamiiForums Tanzania Kama unasoma au unataka kufanya biashara, usifuate maneno ya wanasiasa

    Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa. Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress. Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu. Soma kitu kwa utashi wako...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kurejesha (recycling) vifuniko vya chupa

    Habari wakuu. Naomba mwenye kujua kampuni inayofanya recycling ya vifuniko vya chupa (metal bottle caps) anijuze. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…