Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Kim, Sun Pyo ambapo ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania na wadau inaendelea kuweka jitihada katika kuboresha mazingira ya biashara baina ya...
Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi.
Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
Utangulizi
Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo.
Matokeo ya Utafiti
59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo.
Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
bara
biashara
dar
elimu
elimu ya juu
imeshindwa
kazi
kilo
kubeba
kujiuza
maoni
mtoto
ngumu
sana
serikali
tanzania
tanzania bara
uchafu
ukahaba
vipi
vyuo
zanzibar
zege
Wadau habari zenu?
Naomba msaada tafadhali nataka kuanza biashara ya Travel agency nafanyaje?
Mwenye uzoefu au taarifa sahihi na rasmi anisaidie, Kwa muhtasari sijaanza chochote Niko square one.
Asanteni.
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kukusaidia ufanye biashara yako iwe na mafanikio, kama vile:
1. Kufanya utafiti wa kutosha juu ya soko na washindani wako ili uweze kubuni bidhaa au huduma ambazo zinakidhi mahitaji ya wateja wako.
2. Kuwa na mipango thabiti ya kibiashara, pamoja na bajeti...
Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo.
Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea.
Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali?
Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina nyumba yangu ya kuishi sehemu ilipo nimeona panafaa kufanyika biashara ya lodge/ Gesti hivyo nipo kwenye mpango wa kumtafuta msanifu aje kuiona na kunishauri jinsi ya kuibadilisha kuwa ya biashara tajwa ili kutimiza ndoto zangu za kuwaza...
Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa.
Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress.
Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu.
Soma kitu kwa utashi wako...
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri
Ili kufanisha hilo Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Viwanda...
Habari wakuu,
Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na:
1) Brand name hii...
Wakuu a-saamu aleykum...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mpango wa kuwekeza kwenye biashara ya bodaboda. Nipeni ushauri, aina gani ya pikipiki ni nzuri, ntapataje dereva na kwa siku ataniletea kiasi gani..
Mtaji mil 6.5
Maeneo Arusha Mjini
Nitangulize shukrani🙏
Hello Wadau,
Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri.
Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki.
====
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
Hello,
Hii biashara imeanza tangu zamani sana, ndiyo imefahamika kama Slave trade.
Kuna kitabu kaandika Robert Kiyosaki anasema katika maelezo yake "The High Paid Slave is Still A Slave."
Kuuza watu kwa namna moja au nyingine ni aina ya utumwa, au kumuuza mtu kwa yeye kutaka kipato na wewe...
Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.