biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina Mtaji wa Tsh 50,000/= tu je, niiwekeze katika Biashara gani ili nije kuwa Tajiri?

    Ndiyo hela ya mwisho niliyonayo Mfukoni mwangu na ikiisha tu sijui nitaishije hapa Mjini na Uswahilini niliko. Nishaurini haraka je, hii Shilingi Elfu Hamsini (Tsh 50,000/=) tu niliyonayo niiwekeze katika Biashara gani / Mradi upi ili inilinde hapa Mjini na pia ije kunifanya kuja kuwa Tajiri...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuzalisha misumari

    Wana Jamiiforums habari za kushinda! Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo. Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika...
  3. Podcast

    JamiiForums Tanzania Leseni ya Biashara haraka

    Salamu kwa wote! Nimeona kuwa kuna wenzangu wanaopata shida katika kupata leseni ya biashara. Sasa hivi niko hapa kukusaidia kwa kutuma maombi yako na kuhakikisha unapata leseni yako kwa haraka zaidi. Kumbuka, leseni ya biashara ni muhimu sana katika kuanzisha na kuendesha biashara yako kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Aina ya Biashara ndani ya Wilaya ya Tunduru

    Habari Wakuu, Bila shaka Mungu ametupa uzima hivyo hatuna budi kumshukuru..! Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu...... Naomba wajuvi, wenyeji na hata wafanya biashara wazoefu mnisaidie mawazo mbali mbali ya kibiashara ambayo ninaweza kuifanya katika wilaya ya Tunduru...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Nawasalim kwa jina la muungano!! , Wakuu nina mtaji wa 20m nataka nianze biashara ya ng’ombe kutoka mikoani nakuleta Pugu DSM, naomba kujua ABC za hii biashara na kama inalipa au lah
  6. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Labda tunaweza kujifunza kitu kuhusu mapenzi kupitia story ya maisha yangu

    Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo. Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22 nilikuwa na nyumba 5 na gari za kutembelea mbili ukitoa vitu vingine ambavyo sio muhimu kusema...
  7. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

    Wakuu Habari, Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu. Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na pia sehemu ambapo naweza kupata dhahabu nzuri purity 99%. Nahitaji partner wakushirikiana nae katika...
  8. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kubeti Michezo haina tofauti na Biashara ya kuchimba madini

    Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
  9. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

    Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week. #FUNGUKA. .......
  10. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Wasomi wanaona bora kuzurura na vyeti kuliko kufanya biashara ndogo ndogo

    Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira. Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔. Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko kuwa na elimu iliyokosa akili.
  11. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Ninawezaje kupata hii huduma ya malipo ya selcom kwenye biashara yangu?

    Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
  12. NjavikeSoftcom

    JamiiForums Tanzania Biashara ya “Second hand Phones” kutoka Dubai / Europe

    Habari wakuu, Najaribu kutafuta biashara salama ya kufanya ambayo itanipa Mzunguko Mzuri. Nimefikiria kuhusu biashara ya used simu kutoka Dubai / Europe , changamoto ni sina experience na sijui naanzia Wapi . Nahitaji Msaada kujua soko likoje na upatikanaji wa bidhaa zake ! Au kama kuna...
  13. Mayova

    JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

    Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wafanyabishara kulalamika biashara mbaya kipindi cha pasaka kimenifanya nijue wa Tanzania sio wa'DINI mitaani km inavyoonekana mitandaoni

    Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wamiliki huharibiwa biashara zao na wafanyakazi wao

    Mara nyingi wamiliki wa biashara (kampuni) wengi huwaamini wafanyakazi wao kuendesha biashara zao katika idara tofauti za kampuni husika. Wafanyakazi hawa huharibu biashara za mabosi wao either kwa bahati mbaya (makosa ya kibinadamu) au kwa kukusudia. Makosa ya kukusudia huwa wanafanya kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Bugando hamuwaoni Manesi wanaoacha kuhudumia Wagonjwa na kuwa bize na Biashara kwa Wajawazito?

    Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu. Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa...
  19. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali tupeane uzoefu wa biashara

    Wajasiliamali tuambizane unafanya biashara gani saizi, ulianza na mtaji wa kiasi ngapi? Na sasa uko wapi kibiashara? Ili na wengine tupate picha wapi
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

    Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars). Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni...
Back
Top Bottom