biashara

  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanyabiashara mtandaoni hamjibu wateja wenu?

    Kuna vitu vya ajabu hili nalo ni la ajabu, kuna wafanyabiashara wanafanya biashara kwa kuzitangaza mitandaoni ila wanazima simu, au unakuta wengine hawapokei simu au hawajibu meseji au kusoma jumbe za mitandaoni na kuzijibu ikiwemo maswali hii ni ajabu kabisa. Hivi hawa wanakuwa hawajui wajibu...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi kuhusu ajali ya Mwendokasi kugongana na gari ndogo kusababisha majeruhi na uharibifu wa nyumba ya biashara

  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Unakutana na Vikwazo gani unapofanya Biashara kwa njia ya Mtandao?

    Mauzo ya Biashara za Mtandaoni yanakadiriwa kufikia Kiasi cha dola za Kimarekani Trilioni 6.3 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 10.4 ikilinganishwa na mwaka 2022. Ongezeko kubwa zaidi linatajwa kutokea ifikapo mwaka 2026 ambapo zaidi dola za kimarekani Trilioni 8.1 zitakusanywa kutokana...
  4. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nahitaji anayeuza fremu za biashara

    Ndugu zangu nahitaji anayeuza fremu za biashara hata kama nyumba ya nyuma utabaki nayo (Kama ipo) eneo lililochangamka Aniuzie fremu tu za biashara niwe nazipangisha na kufanyia biashara zangu
  5. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Idea ya biashara

    Niko na idea kama unahitaji kufanya biashara ya kuuza dagaa toka bukoba. Maana ndoo /debe moja 10k so ukiwa na 100k unapata ndoo/debe 10. Kwa bongo ndoo moja huwezi kosa 30k kiwango cha chini hicho Usafiri ndoo 10 ni gundia moja kama sikosei nauli toka Bukoba mpaka Dar haiwezi zidi 25k/30 hapa...
  6. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Biashara ya saluni ya kike ya kisasa

    Tumeona urembo unavoendelea kuwa hadhi na ni hitaji la watu wengi hasa wanawake,nitaelezea namna ya kuendesha biashara hii kisasa hata kma sio msusi vitu gani unatakiwa uvizingatie. Kwanza biashara hii ukitaka uiendshe kisasa lazima utoe hudumña 4 muhimu ambazo ni 1. Pedicure and manicure(kucha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia mkataba wa makubaliano na ICTC na COSTECH kuwezesha biashara changa (startups) nchini kupitia programu ya Imbeju

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
  8. matheiavelini

    JamiiForums Tanzania Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako. Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia nimesoma course kadhaa za biashara mf. DIGITAL MARKETING. Nimefanya kazi ya Mauzo Kwa kuzunguka na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi tangu utotoni wanafundishwa biashara, mbongo anasubiriwa hadi afike 25. Kuna haja ya kuendelea kumtafuta mchawi ?

    Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika. Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunaofanya biashara tuwaandae watoto mapema wafike mbali kutuzidi, shule ipewe nafasi lakini iwe kwajili ya maarifa ila sio ndoto za kuajiriwa

    Hata mimi mwenyewe tangu mtoto naaswa, soma sana mwanangu uje upate kazi nzuri, elimu ndio ufunguo wa maisha, n.k. misemo yote hio inapindishwa ili mtoto adhani kwamba njia pekee ya kutoboa ni kuja kuajiriwa wakati kuna alternatives far more better, elimu inatupa maarifa muhimu lakini...
  11. rajiih

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anajua namna Machinga wanavyopigwa na kuporwa Biashara zao?

    Habari wana JF poleni na Majukumu ya kikazi. Nianze na maada kama kichwa changu hapo juu kinavyosomeka. Nikiwa mmoja wa wahanga katika suala zima la wamachinga nimeona nije mbele yenu pengine jambo hili la Unyanyasaji na lenye kutia hasira, hasara zaidi linaweza komeshwa. Tumekuwa wanyonge...
  12. ndibuka

    JamiiForums Tanzania Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
  13. Programu za PC

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  14. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Infinix Hot 10i for sale

    Simu inauzwa Infinix Hot 10i 64GB Mali halali, mwenye nayo kapata dharura ana shida na pesa ya haraka. Price 150k. Location [emoji625]Dar es Salaam. 0676721372 | 0768315019
  15. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiteknolojia ya Marekani inaweka shinikizo kwa biashara zake yenyewe

    Kampuni kubwa ya simu ya Marekani, Apple, inapanga kutoa punguzo la bei la yuan 700, sawa na dola za kimarekani 103 kwa simu zake zote za iPhone 14 Pro zinazouzwa nchini China. Hii ni kwa mujibu wa waraka wa ndani wa SUNPIE, wakala maalum wa kampuni ya Apple nchini China. Na katika baadhi ya...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Watu wa mikoani mnao agiza bidhaa Dar es salaam pitieni hapa

    Deleted
  17. B

    JamiiForums Tanzania TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Salaam Wakuu, Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara. Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii. Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
  19. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate. Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila...
  20. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement. Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk. Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo...
Back
Top Bottom