afya

  1. JamiiForums Tanzania AFYA: Jinsi ya kumsaidia mtoto wako aweze kutambaa

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu. Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda mwingi wa kulalia tumbo (Tummy time), unamlaza mtoto kwa tumbo akiwa macho na chini ya usimamizi, hii...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uzazi: Kulala chali huongeza hatari kwa Wajawazito kuzaa Watoto Njiti

    Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya. Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nitajenga zahanati kila kijiji, vituo vya afya katika kila kata ili tutoe huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    NJOMBE- MAKAMBAKO Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote. Aidha ongezeko la bajeti...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa tahadhari ya kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua zilizosababisha mafuriko maeneo mbalimbali

  5. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa. Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
  6. JamiiForums Tanzania Ilipobainika kuwa Mfalme ana matatizo ya afya ya ubongo shida ilikuwa jinsi ya kumfahamisha

    Katika kijiji cha Mtakuja walimpata Mfalme ambae alikuwa kipenzi cha watu. Watu walimpenda Mfalme na Mfalme aliwapenda raia wake. Mfalme alirithi ufalme kutoka kwa baba yake, na alikuwa bado na nguvu zake. Raia walimtegemea jemedari huyu kuwaongoza kwa muda mrefu. Matatizo yalianza katika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Habari wadau, Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu. Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

    Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2. Nawasilisha.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akagua ujenzi wa Kituo cha Afya Maneromango

    Mh Jokate Amekagua Ujenzi Wa Kituo Cha Afya Cha Maneromango Wilayani Kisarawe. Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta Matokeo Mazuri kwetu Sote.
  11. JamiiForums Tanzania Jarida la Mtandaoni la Wizara ya Afya (Toleo la 2): Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni

    Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni – Waziri Ummy NA EMMANUEL MALEGI-MOROGORO Shule zote nchini zimepigwa marufuku kuwapa wanafunzi (wasichana balehe) dawa aina ya Folic Acid badala yake zimesisitizwa kuhakikisha zinawajengea uwezo wa kulima maboga na mbogamboga katika...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, tuambieni ukweli juu ya mgombea wenu bwana Tundu Lissu

    Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema. Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume? Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili? Hadi wachapishe form moja...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

    Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

    Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  16. JamiiForums Tanzania Lipumba: Wanawake nchini hawapati huduma bora wakati wa kujifungua, nichagueni kuwa rais nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    WANAWAKE NCHI HII HAWAPATI HUDUMA BORA WAKATI WA KUJIFUNGUA NICHAGUENI KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA BUKOBA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka...
  17. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaagiza milango 83 ya kituo kipya cha Afya kuondolewa kutokana na kukosa ubora uliohitajika

    Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa wilayani Hanang mkoa wa Manyara imemuamuru Mzabuni Ayubu Iyaka aliyepewa kazi ya kutengeneza na kupachika milango kwenye jengo la kituo cha Afya cha Hirbadaw, kuondoa milango yote 83 aliyoweka kwenye kituo hicho baada ya kubainika haina Ubora. Takukuru...
  18. B

    JamiiForums Tanzania USAID wafadhili afya ya mama na mtoto Njombe

    22 September 2020 Njombe, Tanzania Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani USAID ambao ni wadau wa maendeleo wa serikali ya Tanzania wameandaa semina juu ya Afya ya Mama na Mtoto mkoani Njombe uliopo nyanda za juu kusini nchini Tanzania. Mradi huo umejikita kuondoa udumavu wilaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

    Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
  20. JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali kupitia Wizara ya Afya kuitupia jicho Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inapitia kipindi cha ukata uliokithiri kwa sasa kiasi kwamba, inashindwa mpaka kugharimia baadhi ya vitendea kazi muhimu kama gloves, mabomba ya sindano (syringes) na vingine vingi. Hali hii imepelekea ubora wa huduma kuwa hafifu sana. Pia ulipaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…