afya

  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Gwajima aagiza tathmini kufanyika katika miradi ya Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na watoto, Dk Doroth Gwajima ameagiza Wakala wa Majengo Nchini (TBA) kushirikiana na Ofi si za waganga wakuu wa mikoa kufanya tathmini ya miradi yote kwenye sekta ya afya na kumpelekea taarifa ili kudhibiti ubadhirifu wa fedha za miradi. Dk...
  2. J

    JamiiForums Tanzania AFYA: Je, Unafahamu kwikwi ni nini na chanzo chake?

    Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu. Kwikwi sio ugonjwa; kwikwi ya muda mfupi ni kero ndogo tu ambayo inapita, lakini kwikwi isiyokatika inaweza kuwa dalili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Halmashauri zote zatakiwa kusimamia uondoaji wa takataka kwenye masoko ili kulinda afya za Watu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ummy Mwalimu amezielekeza halmashauri zote kuwa na miundombinu bora ya kukusanya, kuhifadhi na kusafirisha taka ili kulinda afya za wananchi. Alitoa maelekezo hayo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Soko la Majengo jijini...
  4. JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi wa Serikali matatani kwa kulipana posho fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo

    Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Vyoo maeneo ya stendi na sehemu za wasafiri kulia chakula havikidhi vigezo. Mamlaka ziingilie kati

    Kwanza kabisa nianze kwa kumpongeza Mh. Rais kwa kuteua kuiongoza hii wizara, hakika Mh. hajakosea kukupa hii nafasi kutokana na uwezo wako mkubwa wa kiuongozi uliouonesha ndani ya hii wizara ndani ya muda mfupi. Wengi tulikuwa hatukufahamu hivyo Mh. Rais kukuibua wewe imeonesha ni jinsi...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel abaini wizi wa dawa za Tsh Milioni 9 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amebaini wizi wa dawa unaofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa ambapo katika ushahidi alionao amesema kuwa Idara ya Famisia imehusika katika upotevu wa dawa za thamani ya Tsh Milioni 9. Dkt...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kafeini ni nini? Ni nzuri ama ni mbaya kwa afya?

    Kafeini imekua ikitumika kwa watu wengi kwa lengo la kuondosha usingizi ama uchovu. 90% ya watu duniani hutumia kafeini angalau mara moja kwa siku. Kafeini ni nini? Kafeini ni kichocheo cha asili mara nyingi hupatikana kwenye chai, kahawa na mmea wa kakao. Inatumika kuchochea ubongo na mfumo...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Afya watoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya kwa watendaji alipotembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Songwe

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam, The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, nenda tena Hospitali ya Mwananyamala

    Naomba nieleze hili ambalo kwenye Moyo wangu siwezi kuliacha kamwe na sintolisahau katika mwaka uliopita linalohusu hospitali ya Mwananyamala. Mnamo Tarehe 30/12/2020 nilimsaidia majeruhi wa pikipiki ambaye alikuwa amegongwa na gari kumuwahisha hosptali kwa ajili ya Matibabu, aligongewa mitaa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar anaongea na watumishi na wadau wa kada ya Afya , JPM ongea na sekta ya elimu nchini.

    Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza mwaka mpya wa 2021 na kwa vile shule kuanzia ngazi ya chekechea mpaka high lever zitakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote imetajwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025

    Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuweka taarifa ikionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 hadi 2020 imeweka bayana kipengele cha Bima ya Afya kwa wote. Ilani hiyo chini ya Jemedari wetu mbeba maono Dr. John Pombe Magufuli inasomeka kama ifuatavyo:- 1. HUDUMA ZA JAMII Zimeanzia kutajwa kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Manesi wa mtaa wanaweza kusaidia afya za raia kwa ukaribu zaidi

    Wizara ya afya ni muhimu sana katika jamii. Jamii yenye afya njema ina uwezo wa kuwa na uchumi bora. Huduma za afya zikiwa karibu zaidi na wananchi inapunguza idadi ya wagonjwa ma hospitalini. Kuna magonjwa sugu kama magonjwa ya moyo na kisukari, msongo wa mawazo na kadhalika. Wengi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya ni bora ungeanza na mchakato wa Bima ya Afya kwa kila Mtanzania kuliko kutoa agizo kama hili

    Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu. Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania. Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Gwajima anafurahisha na kuonesha aina ya viongozi nchi yetu inahitaji

    Binafsi nimefurahishwa na jinsi Waziri wa Afya alivyoanza kazi. Anaonekana mtu mwenye kuelewa wizara yake inavyofanya kazi, ina changamoto zipi na ana dira ya maboresho yanayohitajika kuleta tija. Amekuwa tofauti na Mawaziri wengi ambao wanaonekana kufanya kazi sio kwa kuelekeza nini kifanyike...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Molel, si kila ziara lazima usimamishe mfanyakazi kazi ndiyo uonekane umefanya kazi. Kuwa mbunifu

    Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Afya akiwa Longido, Kwanza haeleweki ameenda kukagua nini. Haeleweki anavyozungumzia mapungufu katika ujenzi wa kituo cha afya tatizo ni mganga mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Mkandarasi au ni kiumbe gani anapaswa kulaumiwa na kwa makosa gani. Pamoja ukweli kwamba hata...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo na kubadilisha kozi

    Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zatajwa kushiriki majaribio ya chanjo ya HIV

    Tanzania na Uganda zimetajwa kuwa kati ya nchi nne za Afrika kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya virusi ya UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya jaribio la kwanza barani Afrika kujaribu chanjo mbili mpya dhidi ya VVU. Imearifiwa kuwa tayari majaribio yameanza wiki hii nchini Uganda na Afrika Kusini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…