afya

  1. Blauzi mbovu

    JamiiForums Tanzania Je, Ubora wa Maji ya Afya umepungua au kuna uchakachuaji sokoni?

    Wakuu, leo tarehe 04/06/2026 nimenunua maji ya Afya (Special) dukani. Kabla sijayatumia, niliyatikisa kidogo ili niyaangalie vizuri, na nilichokiona kilinishangaza. Ndani ya maji kulikuwa na uchafu unaofanana kabisa na ule unaopatikana kwenye maji ya kandoro/kidebe. Kutokana na hali hiyo...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Yapo mambo yanaendelea kwa sasa si mazuri kwa afya ya chama chetu (CCM)

    Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Nimefatilia hizi ndizo kozi za afya unazoweza kuajiriwa kwa urahisi

    ●Biometrical Engineering Hapa soma diploma tu fanya kazi utapanda daraja kidogo kidogo ●clinical ●Nursing ●health laboratory ●physiotherapy ●Dental therapy and surgeon ●Environmental health ●Radiology ●Nutrition ●occupational therapy ● Technologist pharmacy
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

    Kukimbia ni Bure Kupiga pushup ni Bure Mazoezi ya kukimbia ni Bure. Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako. Six pack muhimu Kifua kikubwa Muhimu Muonekano wa mazoezi muhimu. Haya Tukomae
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi (Ajira Mpya) Nyang'hwale mwaka 2025, Kada ya Afya hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
  8. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira ya Siasa ni Magumu, Sarakasi za Msajili na CHADEMA hazina Afya, Kuna Ukandamizwaji

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kupata Maendeleo ya Kweli, Watanzania Lazima Tubadili Mind Set Tuchagie Maendeleo, Afya na Elimu. BMH Hospital Anahitaji 7B!. Tuichangie!.

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe au misiba, hivyo ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, Watanzania ni lazima tubadilike sio tusichangie sherehe au misiba, bali tubadilike na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya wa Wilaya ya Siha tuliajiriwa 2024, hadi sasa hatijathibitishwa kazini

    Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana na hali hiyo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Chuo cha Afya Kilimanjaro (KICHAS) hatujapata vyeti, tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika

    Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika. Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa chuo wanasema kwenye vyuo vilivyopata vyeti chetu hakipo kwa sababu kilisahaulika wakati wanaprint vyeti.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafawidhi wa Vituo vya Afya hatuna posho ya madaraka kama ilivyo kwa wenzetu Wakuu wa Shule

    Kwa muda mrefu sasa hatupati posho ya madaraka, tofauti kabisa na wenzetu wa sekta ya elimu hasa wakuu wa shule za msingi ambao wao wanalipwa posho hiyo, hadi kufikia laki mbili kwa mwezi. Sisi Wafawidhi wa Vituo vya Afya, kuanzia ngazi ya hospitali hadi zahanati, hatupati chochote...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  14. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Sio afya kwa serikali, Jeshi letu la Polisi linapotiliwa mashaka

    Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu. Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
  15. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Afya

    Naomba msaada kama Kamanga medics hospital wanataibu severe hearing impairment? Aliye na uzoefu matibabu ya hapo anisaidie
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Afya Simanjiro (Manyara) Sauti Zetu Zimezimwa!

    Mimi ni mfanyakazi wa kada ya afya katika Halmashauri ya Simanjiro, mkoa wa Manyara. Tangu Januari 2026 hadi sasa tumekuwa tukikumbana na changamoto nyingi, lakini kila tunapojaribu kuzungumza au kuuliza, tunaondolewa kwenye makundi ya mawasiliano (groups) na hata “kuremove” kabisa. Inafikia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Wafanyakazi wa Afya Wanaojiendeleza Kimasomo Kutoka Mikoa ya Pembezoni

    Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto kubwa sana ya kifedha. Wafanyakazi hawa, wakiwemo manesi, madaktari, na hata wanaosomea udaktari bingwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya hatujalipwa fedha ya likizo tangu 2022

    Sisi Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya tangu tumeajiriwa Mwaka 2022 hatukuwahi kulipwa fedha ya kwenda likizo.
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Huduma za Afya Karibu na Nafuu Kwa Wananchi

    Serikali imejenga hospitali 10 mpya za rufaa za mikoa tangu mwaka 2021. Huduma zilizokuwa zinapatikana mbali kwa gharama kubwa, sasa zipo karibu na wananchi, pia ni nafuu zaidi.
Back
Top Bottom