afya

  1. A

    DOKEZO Wito kwa Wizara ya Afya kuchunguza ongezeko la Maabara za Vipimo za Binadamu nchini hususani Vijijini na miji midogo

    Ninaomba kutumia jukwaa hili kutoa wito kwa Wizara ya Afya na mamlaka husika kuchunguza ongezeko la maabara za vipimo vya binadamu nchini, hususan vijijini na katika miji midogo, na kuhakikisha zinazingatia viwango vya ubora na usalama wa huduma. Pamoja na kuwepo kwa mifumo ya usajili na...
  2. Zack Abdul

    UNGA 2026: Mhe.Ndejembi aanika mafanikio ya Rais Samia kwenye sekta ya afya

    Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
  3. Zack Abdul

    Mkakati Mpana Afya ya Mifugo Tanzania

    “Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo. Kwa maana nyingine, tunawekeza katika kujenga na kuimarisha mifumo madhubuti...
  4. A

    KERO Kero ya malipo kwa huduma za Kliniki ya Ujauzito Kituo cha Afya Kinyerezi, kila hudhurio hutozwa TZS 6,000 bila maelezo

    Mke wangu amekuwa akihudhuria kliniki ya ujauzito katika Kituo cha Afya Kinyerezi. Kila anapokwenda kwa ajili ya huduma za kliniki, amekuwa akitozwa Shilingi 6,000 bila kupewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya malipo hayo. Pia, anapougua huendelea kutozwa fedha za kumuona daktari pamoja na...
  5. Zack Abdul

    Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
  6. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji wa wanawake ni uwekezaji katika afya moja

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira. “Wanawake hawapo pembezoni mwa...
  7. nzalendo

    Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Naam hasa afya ya akili.. Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi. Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia, Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza. Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya...
  8. B

    Kinga Afya yako: Chemical Mask bora sasa!

    CHEMICAL MASK YA UHAKIKA! Linda afya yako unapofanya kazi hatarishi b Mask hii ni bora kwa vumbi, kemikali na harufu kali V Inakaa vizuri usoni V Ina filter imara (double protection) Bei yake ni 40000/= kwa mawasiliano ni 0612630936 .. mikoani pia tunasafirisha V Inafaa kwa mafundi, welding...
  9. A

    HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  10. L

    Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  11. W

    Tujadli afya kwa matumizi sahihi ya miundombinu ya maji, usafi ni utu

    Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu. Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
  12. F

    Tanzania Health Summit, mnapoteza credibility ya kuendesha tuzo za afya ikiwa mfumo wa upigaji kura unaacha mianya ya kura zisizo halali.

    Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika mazingira ambayo mchango wa wataalamu wa afya mara nyingi haupati utambuzi unaostahili. Pia, sina...
  13. M

    Ambulance ya kituo cha afya Muganza yawekewa matairi usiku ili Viete ya Ded irudi

    Mpaka wachimbwe mkwara👇
  14. Zack Abdul

    Rais Samia UNGA81: Afya Mama na Mtoto Afrika

    Tukutane New York!!!!!! Tanzania ikiendelea kuongoza juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa mama na mtoto barani Afrika. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, atakuwa mwenyeji wa tukio la UNGA81 kuhusu - Malengo matatu...
  15. Equation x

    Ongezeko la wachungaji, manabii, na waganga kwenye mitandao ya kijamii yanaleta afya kwa jamii?

    Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
  16. L

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  17. A

    RESOLVED Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kulipwa stahiki zetu

    Ahsante kwa kutoa taarifa ile, imetusaidia kwa kiasi fulani, Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kupe stahiki zetu. Mfano wapo waliokuwa wanadai malipo ya miezi tisa, lakini wamepewa malipo ya miezi minne, hivyo bado tunasubiri miezi mitano. Hoja ya awali ~...
  18. Hance Mtanashati

    Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  19. britanicca

    Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  20. min -me

    Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

    Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ? Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔 Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
Back
Top Bottom