afya

  1. Sprouts pre School

    Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada. Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu...
  2. Zirconium

    Je, una Changamoto Yoyote Ya Afya Kinywa na Meno!? Ikiwepo kukosa meno !? Suluhisho hili hapa

    😁 Rudisha tabasamu lako kwa meno bandia ya kudumu (Crowns & Bridges)! Je, una jino lililovunjika, lililoharibika au lililopotea? Tunakupa suluhisho la kudumu kwa kutumia Crowns & Bridges zenye muonekano wa asili, uimara na faraja. ✨ Faida zake: 🦷 Hurejesha umbo na kazi ya meno. 🦷 Huboresha...
  3. A

    KERO Viongozi wachunguze Kituo cha Afya Kadashi, Wilaya ya Kwimba – Mwanza. Utendaji unatukwaza Watumishi

    Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
  4. Mpepetaji

    Kituo cha Afya Mbezi kiboreshe huduma, kuna kompyuta moja tu, huduma zipo slow sana

    Mimi ni mdau wa afya ila kitu kinanikwaza kutoka Kituo cha Afya Mbezi, kituo hakina kompyuta za kutosha, vyumba vitatu vya madaktari chenye kompyuta nzima ni kimoja tu. Tupo hapa tumelundikana kusubiri huduma uongozi hata hautoi mwafaka wanapitapita tu, kuna daktari mmoja, wengine wanazunguka...
  5. Roving Journalist

    Prof. Tumaini Nagu: Serikali imeelekeza matumizi ya mifumo ya Kidijitali katika vituo vya afya ili kuongeza ufanisi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Tumaini Nagu, amezielekeza Timu za Usimamizi wa Huduma za Afya za Mikoa na Halmashauri kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali katika vituo vya kutolea huduma za afya ili kuongeza ufanisi wa...
  6. betting machine

    Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  7. Fbn

    Elimu ya Tanzania kwa upande wa afya na teknolojia. Watu watakufa na wengine watakuwa wahanga

    Kuna mada niliweka kuwa na mashaka na elimu ya sasa niliweka JF. Moderator utaweka. Elimu ya tanzania sasa mtoto kafaulu mfano PCB ila ukiangalia tokea nyuma background na maswali una muuliza ni kichekesho. Mimi hapa JF sikusomea HKL ndio maana napata tabu na wengi wanaona navyo wasilisha...
  8. Ramsy Dalai Lama

    Tunakumbushana: Ukitaka Kuyaelewa Maisha yako na umuhimu wake, Tembelea Maeneo Haya Matatu. Please tusijisahau

    Kwa heshima na taadhima, habari zenu wanajukwaa. Please, ukipata muda tembelea hayo maeneo matatu nitakayo orodhesha hapa au pia naweza kukukumbusha humu humu kama utakua huna muda ili kujikumbusha yalio muhimu sana katika maisha yako. 1. Hospitali. Hapa utaona jinsi mwanadamu alivyo dhaifu...
  9. A

    KERO Dampo la Murubona - Kasulu Kigoma ni Hatari kwa Afya na Mazingira

    Kero yetu ni uwepo wa dampo kubwa la takataka katika Kata ya Murubona, Wilaya Kasulu Mji, dampo hilo ni hatarishi kwa jamii inayozukwa na taka kwani ni chanzo kikubwa cha magojwa, lilianzishwa hapo Mwaka 2023. Harufu mbaya ya taka, wadudu wasumbufu imekuwa tatizo kubwa.jambo hili linakingiwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Joel Nanauka: Miradi ya Elimu na Afya Ni Msingi wa Kujenga Kizazi cha Taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka amesema miradi ya elimu na afya inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita siyo tu uwekezaji wa leo, bali ni msingi wa kujenga kizazi chenye elimu bora, afya njema na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya...
  11. AXIOM APEX VERBOSE

    Tutunze afya zetu

    Wakuu, Nipo hapa kuwasisitiza na kuwakumbusha tutunze afya zetu. Binadamu jinsi tulivyo ukiichezea afya yako vibaya kuna wakati unafika unaanza kuoza. Yaan mtu akikutazama hivi anakuona kwa nje ni mzima kabisa ila ndani wewe tayari umeshaanza kuoza unaoza kaka unaoza dada unaoza kijana unaoza...
  12. Think2

    HOJA Serikali kupitia wizara ya elimu tunaomba mkatizame upya vigezo ya kusoma kozi za afya

    Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli? Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
  13. stabilityman

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na: Vyanzo vya protini na zinki Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini) Mayai Nyama nyekundu kiasi (beef, kondoo) - zina zinki nyingi muhimu kwa uzalishaji wa mbegu za kiume Karanga na mbegu (hasa mbegu za...
  14. Waufukweni

    Wahudumu wa Afya wapewa Baiskeli 279 ziwasaidie kuboresha huduma

    Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi ya jamii. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi baiskeli hizo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje...
  15. A

    Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  16. Masalu Jacob

    Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

    Habari Tanzania !. Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili. Asante.
  17. Frank Wanjiru

    Wahudumu wa Afya wapewa baiskeli 279 Ileje

    Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi ya jamii. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi baiskeli hizo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje...
  18. Milvik Tanzania

    Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  19. A

    Mrejesho kuhusiana na taarifa kuhusiana na Kituo cha Afya Kigamboni: Hatua zimechukuliwa, asanteni JamiiForums

    Hello wanajukwaa, Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
  20. A

    KERO Halmashauri ya Mbomba - Songwe ajira mpya Kada ya Afya tumelipwa pungufu fedha za kujikimu

    Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema kuwa serika imeshaingiza pesa zote hivyo tutalipwa zote bila ubaguzi. Ajabu wamelipa kiwango tofauti...
Back
Top Bottom