afya

  1. Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  2. Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  3. Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

    Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ? Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔 Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
  4. Mkutano wa Afya Msingi Arusha: Safari ya SDGs

    Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  5. Afrika Ijitegemee Huduma za Afya - PM Nchemba

    Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati...
  6. Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
  7. M

    Mapenzi yanavyo haribu afya ya mwili na akili

    Ipo hivi jamaa yangu anaishi na mke ambaye tayari Wamejaaliwa kupata watoto wawili ,sasa anasema mwaka jana waliingia kwenye mgogoro mkubwa baada ya kugundua mke wake alikuwa akimsaliti japo huo usaliti ulitokea kipindi cha nyuma hili suala limefika pabaya jamaa aliamua kumufukuza waifu...
  8. M

    Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?

    Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?
  9. Watanzania Wamekua na Huruma kwa Afya ya Mzee Warioba, Watanzania hapohapo wamelipuka Furaha kwa Kifo cha Mzee Hafidh. watawala mjitafakari mara moja

    Huruma, Huzuni, Maombi yameelekezwa kwa Mzee Warioba
  10. R

    Mkimbize Mzee Warioba London achekiwe, thoroughly checkup ya afya yake. Achana na hospital za hapa watamfuata huko wahuni

    Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao. Mkimbizeni popote be it London, , USA...
  11. R

    Steve Nyerere: Si afya kuendelea kutoa matamko, Watanzania hawataki siasa sasa hivi, wameridhika, wamempokea Makamu mpya

    Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi "Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo. Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
  12. H

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  13. Bima ya Afya: Kinga kwa Watanzania Wote

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  14. Mimi nafikiri wewe mshabiki wa man utd mwenzangu tuachane na matumaini tena, ili kulinda afya yako ya akili achana na kujipa moyo tena.

    Usiishabikie man utd kwa moyo kama ule uliokuwa nao kipindi cha fergie. Its over.
  15. Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

    Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi. Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida . Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na...
  16. A

    DOKEZO Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi wa Wizara ya Afya anagawa kazi zake kwa upendeleo

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi. Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
  17. Dkt Mwigulu: Serikali kuendelea kutafuta vyanzo vya mapato kuongeza wigo wa wanufaika, Bima ya Afya si TASAFU kwamba kusaidia wasiojiweza

    Bima ya afya ni kwa wote. Maana yake, kila Mtanzania ashiriki kukata bima ya afya, na kupitia programu hii ndipo tutakapoweza kuwa na bima ambayo ni jumuishi, ambayo haitaacha mtu nyuma-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Septemba 03, 2026 Amesema hayo wakati akijibu swali la...
  18. O

    Wabongo na michezo kwa afya zao, na mambo muhimu yanayoweza fanyika hodpital kuokoa jahazi la daz

    Kuna kitu tunahitaji kuelewana hapa. Mgonjwa anaingia maabara a.k.a hospital za kitaa, kabla hata hajamweleza vizuri Mpimaji aka daktari wa kitaa tatizo lake, tayari ameshajipangia: “Nipime mkojo.” “Nipime malaria.” “Nipime damu.” “Nipige X-ray.” 😂😂 Halafu unakuta anapima mkojo, majibu...
  19. A

    DOKEZO Mama na Walimu wanaharibu afya ya akili ya Mwanafunzi wa Kidato cha 4 Shule ya Kimbiji Secondary School

    Hii si hadithi, ni maisha halisi ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni kuhusu mwanafunzi wa kike anayesoma Kidato cha Nne katika Shule ya Kimbiji Secondary School. Msichana huyo jina nalihifadhi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na mama yake mzazi, ambapo mama anashinikiza mwanaye aondolewe...
  20. Bima ya afya kwa wote: Kaya 276,000 zasajiliwa

    Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…