Recent content by El Mincho

  1. El Mincho

    Hili ni wazo la kijinga wadau?? Bodaboda ziingie "Central Business District" hapa Dar siku 4 tu kwa wiki especially Jumamosi na Jumapili

    Nakubaliana na wewe, bajaji at least ziingie mjini ni sawa, lakini boda boda hapana. Boda boda zinatakiwa ziishie Magomeni, Ilala, Chang'ombe, Kurasini, Kinondoni huko zisikanyage mjini. Jiji litapendeza.
  2. El Mincho

    Hili ni wazo la kijinga wadau?? Bodaboda ziingie "Central Business District" hapa Dar siku 4 tu kwa wiki especially Jumamosi na Jumapili

    Hapana, boda boda na bajaji zinatakiwa zisiingie kabisa mjini ziishie huko suburbs kuliweka jiji safi.
  3. El Mincho

    Itoshe Kusema Umaskini Ulizaliwa Dodoma Ukakulia na kuishi Songea na Lindi

    Nchi yote masikini, ni shithole. Eti mtu mzima anauza nyumba Chanika milioni 250, Chanika kweli :D :D :D :D
  4. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Haahaha usipaseme vibaya wakati ni ukweli mtupu li nchi libaya mashida mengi tuu, wachache wanafaidi keki ya taifa na wengi wanahangaika na mashida yao hata kula mlo mmoja ni tabu halafu huyo mturutumbi anataka wapasifie tu. Lazima watu waseme ukweli nchi imefika hapa kutokana na fikra kama za...
  5. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Halafu kuna mtu anasema eti anaogopa mamtoni kuna upweke na baridi, Tanesco wanajikatia umeme hata hawajali madhara wanayopata watumiaji na uharibifu wa vitu. Na watu hawana pa kwenda. Hio nchi inahitaji hayo ma ccm yaondoke kwanza waje wengine na timu ya vijana wa kisasa labda ndio inaweza...
  6. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Halafu hilo jua la bongo uwe hauna pesa ya lunch, wallah utajuta utasema uko jehanum halafu uwe hauna AC ila una feni linazunguka linapiga kelele kama mashine ya kusaga unga ,badala ya kupuliza upepo linapuliza joto. Mara paaap! umeme umekata na Tanesco wataurudisha kesho mchana, hilo joto ni balaa.
  7. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Eti watu wapambane waifanye bongo ulaya! Really!! wapambane wakati wakina Abdul na Mchengerwa wanaibuka from nowhere wanakula matunda ya nchi na kujinunulia ma mansion Dubai huko, halafu wajinga wajinga ndio unataka waipambanie nchi. Ulaya/ Marekani waliendelea enzi zao ilikua ukileta ujinga...
  8. El Mincho

    Maneno ya Kiislamu yaliyozoeleka sana katika Kiswahili

    Huu upumbavu wenu mtaacha lini?? hio sio lugha ya kiislam ni kiarabu. Hata majina pia uwa kuna wapuuzi wanasema majina ya kiislam .,Ni majina ya kiarabu ukienda Egypt, Lebanon na nchi nyingi za kiarabu hayo majina kuna hata wakristo wanayatumia. Upuuzi wenu umewafanya hata akili hamna.
  9. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Teehteehteh, ndio maana yake , maana nikipiga jeans/cargo shorts na raba kelele, nikivaa polo shirt kelele wao wanataka nivae kama wao shati la kitenge na suruali zao za wasomali, yaani tayari wameshazeeka wakati mie ndio kumekucha asubuhi tu. Na mie pia sio mtu wa kuchangamana na watu kwahio...
  10. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Nimekusoma vizuri sana mkuu, ila kukaa kwako mamtoni kwa miaka 8 sio muda wa kusema ulisettle huko kumbuka miaka 3-5 ya mwanzo ni ya kuangaza fursa na kuweka makaratasi yako vizuri. Nakubali waafrika wengi wanaichukia baridi lakini tupo wengine pia tunaolichukia joto kali la bongo halafu maji...
  11. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Kila mtu anapenda wepesi unadhani maviongozi yenu yasingependa wepesi mbona nchi ingekua mbali sana hii, jidanganye tu utakufa waje watoto wako, vitukuu hata vilembwe bado watalikuta hili li nchi lako liko hivyo hivyo sioni likiendelea kutoka hapo. Acha watu waondoke wakapambanie familia zao hio...
  12. El Mincho

    "Bila kuwa na namba ya NIDA, hakuna mtu kuingia kanisani/msikiti kufanya ibada." Inaweza ikaja kutokea mwaka 2028. Who knows??!!

    Mkuu nakuona wewe ni akili kubwa sana na uko mbele ya muda. Hicho unachokisema ni kweli ndio kinakuja ni moja ya rule za ; New world order.
  13. El Mincho

    Wakuu hii ya bibi iwapite hili kuepusha laana kwa taifa.

    JF imekua kijiwe cha gahwa. wakata ishu ndio hawa. Yaani Lissu angechukua millions zake na kuishia tu maana watu anaowapambania ndio hawa :D :D :D :D
  14. El Mincho

    Upo Bongo bahati mbaya?

    Hizi nchi ni makaburini mkuu, ukisikia jehanum ndio huku sasa. Vitu basics kabisa kwa binadamu vimetushinda tunaishi kama kuku wa kienyeji tu. Hata ukiwa na pesa bado sulubu utazipata tu, ndio maana mzee wa Msoga kajitafutia ajira aweze kua anazunguka mamtoni akirudi bongo anasalimia kidogo...
Back
Top Bottom