Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Wanaume(Wanaojitambua lakini) Mwanaume wa kweli, hakosi vya kugawa, na siku zote atakuwa tayari kugawia hata wasiomtakia mema. Pale shule zinapofunguliwa, walio wengi sukari hupanda kwa kasi...
1 Reactions
2 Replies
158 Views
Kuna watu wanazalisha wanawake na kuwatelekezea watoto. Tabia hii ndo chanzo cha hali ya sasa, maana walio na miaka 20-25 waliokulia mazingira hayo, kukosa malezi, matunzo na haki za msingi, ndo...
1 Reactions
2 Replies
151 Views
Serikali ya Kijeshi ya Taifa la Burkina Faso imepitisha kwa kauli moja sheria inayopiga marufuku mapenzi ya jinsia moja ikiwa ni sehemu ya mageuzi ya sheria za Familia na Uraia ambapo sheria hii...
1 Reactions
2 Replies
358 Views
Kuwa makini na wakati wako. Jenga mahusiano na watu wenye connection. Upate mchongo ambao utakupa kipato chako ili kufanikisha maisha. Hiyo ndio njia yako pekee ya kutoka.
1 Reactions
2 Replies
80 Views
Sex is easy to get. Love is hard to find. Money is even more difficult to come by. So, if you are a woman and your husband gives you all three, my dear, you better make your home a sanctuary of...
1 Reactions
2 Replies
349 Views
Ujinga ni pale unamuacha mumeo kisa kachepuka halafu unaenda kuwa hawara wa mume wa mwenzio Usilaani moto kisha uende kuwasha cheche zako kwa jirani. Aliyejeruhiwa na mwiba hafai kuupandikiza kwa...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Marekani, Ufaransa, Uingeleza na Italy, ni nchi ambazo zimekwishatangaza kusitisha safari za ndege kuelekea uwanja wa Merchiol Ndadaye Internationa Airport huko Burundi. Taarifa zilizopo zinadai...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Serikali ya Rwanda kwa kushirikiana na Kampuni ya Ujenzi ya China ya Road and Bridge Corporation (CRBC) wamezindua Ndege taksi ya umeme inayojiendesha yenyewe ikiwa ni ya kwanza Barani Afrika...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Hata sijui uchukue tu mwanao, mahari sidai kabisa.
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Gharama za maisha zinazidi kupanda, Wengi hawana vyanzo vya mapato vya kuaminika, wenye mishahara, ipo pale pale. Kazi ndani ya kazi
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Hadi inafika hatua ya mwanaume anafanya maamuzi ya kuondoka kwako anakuwa amejaribu njia nyingi ili ubadilike, hakuachi kwa kosa la siku moja... Mwanaume anakuacha kwa mlolongo wa makosa mengi...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Mwanaume ukiona mwanamke wako kukutembelea ni hadi umbembeleze na kumuomba sana tena ni hadi utekeleze masharti yake kadha wa kadha ikiwemo kumtumia nauli hapo ndugu yangu shtuka mapema uamke...
1 Reactions
5 Replies
221 Views
Hali imekuwa tete nchini Burundi, kutokana na ukosefu wa umeme kwa muda mrefu. Mbali na kusitishwa huduma nyingi zinazohitaji umeme, vichanga katika hospitali mbali mbali nchini vilivyokuwa chini...
1 Reactions
5 Replies
320 Views
Kiwanda cha Ryvid kutoka California, kimeingia sokoni nchini Rwanda, kwa ajili ya muazo ya pikipiki zitumiazo nishati ya umeme. Bei zake ni kama ifuatavyo: 1. Ryvid Anthem $7,995, 2. Ryvid...
1 Reactions
2 Replies
463 Views
Katika mahusiano, kitu kinachoweza kumfanya mwanaume awe na furaha na kumtamani zaidi mke wake si sura nzuri pekee, si urembo wa mavazi, na hata si ujuzi wa jikoni pekee; bali ni moyo wa shukrani...
1 Reactions
2 Replies
301 Views
2 Reactions
2 Replies
132 Views
Rwandair imenunua kwa mkupuo ndege mbili za Boeing 737-800. Kila moja in auwezo wa kubeba abilia 174. Shilika hili la usafili wa anga, limeonyesha kukua kwa kasi, na baada ya kujiunga na Qatar...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…