Hekima ni kutokurudia kosa ulilolalamikia .

Hekima ni kutokurudia kosa ulilolalamikia .

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Ujinga ni pale unamuacha mumeo kisa kachepuka halafu unaenda kuwa hawara wa mume wa mwenzio
Usilaani moto kisha uende kuwasha cheche zako kwa jirani.
Aliyejeruhiwa na mwiba hafai kuupandikiza kwa mwingine.
 
Back
Top Bottom