KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.
Kosa la uchochezi (sedition) alilohukimiwa nalo Tundu Lissu kwa sababu ya kudai mabadiliko ya kisiasa ni kosa la kale sana ambalo liliwagharimu maisha kabisa watu wakubwa zaidi yake waliomtangulia.
1. Yesu Kristo japo leo hii ana wafuasi zaidi ya bilioni mbili lakini kosa lililopelekea...
Mimi nisingekuwa na presha ya maisha
Ningetumia muda kucheza, kujifunza vitu vingine na ujuzi wa mtaani.
Wakati nasoma i thought masomo ndo the only thing that matters,
Ningejifunza mambo na mambo mengine pia
Kuuzaau kununua vitu zikiwamo T-shirt, bangili, skafu, tai hadi vishikizo vya funguo, bidhaa zenye Bendera ya Tanzania ni kosa kisheria na unaweza kufungwa miaka miwili au faini ya Sh20,000 au vyote kwa pamoja.
Kwa mujibu wa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Alama za Taifa, Sura ya 10, Toleo la...
Wananjaa...
Ving'ang'anizi
Waongo Waongo, na hawajui hata kudanganya.
Si rudii tena, maana nilikuwa Nime setiwa bonge la surprise kupigwa pesa ndefu,
Yaani mtu unamtumia m1 alafu anakurudishia kisa kupishana sentensi..
Hii ni kusakwa kisaikolojia then siku aje akumemende Hati ya...
Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026
Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
Ni jambo gani hasa alilofanya jamaa huyu hadi kustahili kuuawa?
Anaitwa Nashon Ouma Opiyo, mkazi wa Ongoro, Kamreri, eneo la Suba huko Kenya, alifanya nini mpaka mke wake mwenyewe na watoto wake, kwa madai yanayoelezwa, wageuke dhidi yake, wampige ndani ya nyumba yake na hata kumchomeka...
Moderator chondechonde usiunge uxi huu kwani lazima tuambiane ukweli tuache kulishana matango pori
Pangueni hoja za msingi na soon atakuwa huru vinginevyo mtaishia kumlia vihela vyake na asitoke huko ndani
Rejea Kifungu cha 319 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure...
Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini.
Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali
Wakoloni Wametufanya Vibaya Kutu Indoctrinate Kasumba ya Kiingereza! Kosa la Kiswahili Wahusika Waswahili, Kizungu cha Nini?!, Hii Sio Mental Slavery?
Tanzania japo tumejipatia uhuru wetu zaidi ya miaka 65 sasa, bado tunakabiliwa na jinamizi la the colonial...
Mahakama kama mhimili huru imeamua kufuta adhabu ya fimbo ambayo iliasisiwa na Wakoloni
sasa, mahakama hiyo hiyo pia itoe uamuzi wa kukataza wazazi kugombeza watoto!
Lakini tutegemee mahakama kuondoa adhabu ya viboko kwa wafungwa kwa sababu zile zile walizozitoa walipofuta adhabu kwa watoto...
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Kipolisi Rufiji, imemhukumu Rashid Mussa Mkapunda (38), mganga wa kienyeji na mkazi wa Kitongoji cha Churwi, Kijiji cha Mlaleni, Kata ya Tambani, kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kumlawiti mwanafunzi wa kike mwenye umri...
Nashangaa sana kwamba Tanzania imefikia mahali hapa ambapo hata majaji ambao wanapaswa kuheshimika sana katika jamii, wanaonyesha wazi kwamba wanafanya mambo kwa maelekezo ya serikali.
Lissu kashitakiwa kwa kosa la uhaini
Lissu kanyimwa dhamana kwa sababu kashitakiwa kwa kosa la uhaini
Lissu...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Tunakutuhumu umeiba ng'ombe ila tunafunga kwa kosa la kula firigisi za kuku
Daudi anasema Wana taka nirudishe kitu ambacho sikuiba
Huzuni
SAYUNI BOY
Mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie amehukumiwa kifungo cha jumla cha miaka 200 gerezani kutokana na mauaji ya watu 191, wakiwemo watoto 190, katika mkasa wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Jaji Diana Kavedza wa Mahakama Kuu ya Mombasa.
Mahakama...
ABC zangu ndogo za masuala ya kisheria,zinanikumbusha kwamba mahakama zetu mara nyingi zimekaa mkao wa kupima, kujadili na kuamua kesi iliyoletwa mezani kama ilivyofunguliwa na wadai au waendesha mashtaka.
Kama shtaka kwa mtuhumiwa lilikuwa kuzidisha chumvi katika mboga, majaji hawawezi kutoa...
Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile
George Jackson David
Aisha Muhammad Nurdin
Uhuru Baraka Amani
Judith Christopher Benard
Salehe Abdul Ally
kunafuta utambulisho wa asili na...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Terry Bukuku, kupitia video inayosambaa kwenye mtandao wa TikTok, ameomba msamaha kwa aliyekuwa mume wake, Juma maarufu kama Baba Ivone, huku akieleza kuwa anatamani warudiane na kuendelea kulea watoto wao watano.
Katika ujumbe wake, Terry amekiri kuwa kiburi...
Husemwa kuwa, siasa ni mchezo mchafu...
Lakini mimi nasema hivi: Sio kweli, bali siasa ni Sanaa na profesheni halali na ya kawaida kama profesheni zingine katika maisha mfano ualimu, udaktari, unasheria nk. Shida ni kuwa, siasa imebeba watu wachafu kimaadili kwa zaidi ya 95% ndani yake na hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.