Waumini njooni mtoe ya moyoni

Waumini njooni mtoe ya moyoni

Mnajisikiaje pale mnapotoka kanisani na kurudi nyumban na baraka za kufikirika

Huku wachungaji wakirudi na utajiri wa kweli toeni ya moyoni
povu ruksa
Usipime utumishi wa Mungu kwa ukubwa wa mfuko, pima kwa uaminifu wa huduma na matunda yake
Pia soma wakorinto wa kwanza 9:14 iko wazi Big
 
Usipime utumishi wa Mungu kwa ukubwa wa mfuko, pima kwa uaminifu wa huduma na matunda yake
Pia soma wakorinto wa kwanza 9:14 iko wazi Big
Kama huduma za Mungu huyo hazipimwi kwa ukubwa wa mfuko, Sadaka ni za nini huko makanisani?
 
Hoja dhaifu sana. Hii hoja hukaririwa na watu wasiopenda kufanya utafiti.

Jee wale wanaokwenda kuangalia mpira na kurudi makwao kwa miguu wakati wenzao wanalipwa mamilioni. Hao nao unasemaje?
Mpira ni burudani.

Kama na makanisa ni burudani hapo sawa.

Lakini kutoa hela kanisani kama sadaka ukitegemea kwamba kuna Mungu anaipokea ili akubariki ni utapeli na uongo.
 
Kama huduma za Mungu huyo hazipimwi kwa ukubwa wa mfuko, Sadaka ni za nini huko makanisani?
Sadaka linaweza kuwa na sadaka nyingi lakini likakosa kweli, hivyohivyo linaweza likawa na sadaka chache lakini likawa na uaminifu mkubwa mbele za Mungu.

Mungu haesabu sadaka kwa calculator za wanadam, anaangalia moyo, pia kutoa sadaka ni wajibu wangu kama muumini kumbuka yule mjane kwenye marko alietoa sent mbili yesu akamsifu ajaangalia ukubwa ameangalia moyo...
 
Kanuni ya kutoa Haina dini Wala kanisa!hata matajiri wanatoa kwa mayatima n.k!!

Kanisa au misikiti ni sehem ya kukumbusha maadili TU ambayo huwezi kuyapata kirahisi kwingine!kuchangia chochote ni sehem ya kuendeleza huduma ya maadili hayo kulipa bill's mbali mbali hata kula kwa mtoa huduma!!

Sasa kama mtoa huduma akifanya ni mradi basi tatizo ni lake na sio la mtoaji!!

Kutoa ni Ibadan hata kwa wasio na dini!!

Lakini too much is harmful!!

Usitoe fungu la kumi bali kile unachiwiwa kutoa coz muumba Hana kiasi Cha MTU kujitoa,achana ma Sheria za torati zile za zamani!!

Hata Jodi tunatoa ili kuchangia maendeleo,sadaka ndio Kodi ya kiroho!!!kama ilivyo Kodi kwa serikali!cha msingi uwe na kiasi!

Sijawahi juta kuchangia huduma yeyote ya kiroho iwe ya dini yoyote Ile au ibada yoyote ile coz sioni hasara yoyote nikitoa!!
 
Sadaka linaweza kuwa na sadaka nyingi lakini likakosa kweli, hivyohivyo linaweza likawa na sadaka chache lakini likawa na uaminifu mkubwa mbele za Mungu.

Mungu haesabu sadaka kwa calculator za wanadam, anaangalia moyo, pia kutoa sadaka ni wajibu wangu kama muumini kumbuka yule mjane kwenye marko alietoa sent mbili yesu akamsifu ajaangalia ukubwa ameangalia moyo...
Huyo Mungu anahitaji kutolewa sadaka ili nini?

Zimsaidie nini?

Kama Mungu ndiye aliyekuumba, kwa nini tena aangalie uaminifu wa moyo wako?

Kwani haujui moyo aliyokupa ulivyo hadi aungalie kwenye sadaka?
 
Huyo Mungu anahitaji kutolewa sadaka ili nini?

Zimsaidie nini?

Kama Mungu ndiye aliyekuumba, kwa nini tena aangalie uaminifu wa moyo wako?

Kwani haujui moyo aliyokupa ulivyo hadi aungalie kwenye sadaka?
Mungu haitaji fedha zetu, ila anajali mioyo yetu katika utoaji.
 
Mnajisikiaje pale mnapotoka kanisani na kurudi nyumban na baraka za kufikirika

Huku wachungaji wakirudi na utajiri wa kweli toeni ya moyoni
povu ruksa
Mchungaji akitubariki tukafanikiwe yeye akipikea vya jumuia ili kufanikiwa.

Kadri muda unavyoenda na wainjitisti wanaopokea hela kidogo kwa ajili ya kuzika marehemu wakiongezeka.... idadi ya waumini itapungua tupo kanisani kwa ajili ya ubatizo na ibafa ya kumzika marehemu
 
Relief kubwa sana, ukitoka kanisani unahisi kuna mzigo umetua, its psychological wala haihitaji sayansi.

Ni kama mtu akienda bar, akinywa akalewa, the feeling is impeccable, au umeenda na mwanamke Lodge, mkafanya yenu mkaenjoy, ukitoka hapo ni mwepesi.

Hoja ni kufanya kile roho yako inafurahi kufanya, maisha yanampa kila mtu nafasi ya kufurahi kwa namna anayoona inafaa.
 
Tusiingiliane kwenye majukumu. Mnaotoa kafara kwa waganga endeleeni, mnaoimba kwaya kwa waganga endeleeni, Mnaojilipua freemason endeleeni, TUNAOTOA SADAKA KANISANI TUENDELEE.
 
Back
Top Bottom