Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,306
- 56,657
Unaona wivu
Kwa maelezo haya huenda wewe ni beneficiary wa hizo sadaka.Halafu kwa mfumo wa dunia hela ni kiwakilishi tu(medium) na wala si kitu halisi.
Kwa ivo kwa nini watu hutoa Hela.? Ulilijua hilo basi mambo mengine utayaelewa kiurahisi.
ongeza sabuni povu halijakoleaUnaona wivu
Kwa nini umewaza hivyo... Sadaka hutolewa mahali kwingi.Kwa maelezo haya huenda wewe ni beneficiary wa hizo sadaka.
Muktadha wa mleta uzi hauhusiana na mahali kwingi.Kwa nini umewaza hivyo... Sadaka hutolewa mahali kwingi.
Kwani sadaka ni nini?Muktadha wa mleta uzi hauhusiana na mahali kwingi.
Kwa mfano kumpa pesa malaya sio kutoa sadaka.
Hakuna utajiri zaidi ya kumjua Mungu na kumuamini.......Mnajisikiaje pale mnapotoka kanisani na kurudi nyumban na baraka za kufikirika
Huku wachungaji wakirudi na utajiri wa kweli toeni ya moyoni
povu ruksa
Sadaka ni matoleo yanayotolewa kwa hiari au kwa misingi ya kiimani kwa ajili ya ibada, kumheshimu Mungu, kuonyesha shukrani, au kusaidia jamii na wenye mahitaji.Kwani sadaka ni nini?
Ni moja ya watu smart sana mkuu, usijifanye huelewi.Waumini wa dini ni kati ya jamii ya wapumbavu haswaa wanaoitwa walokole
Ngono ni ibada, ulevi ni ibada, ganja ni ibada, kuloga ni ibada hat kula ni ibadaNa miaka mingi zaidi ya 20 sijui ibada, na maisha yanasonga
Kwa ivo kama sadaka inatolewa kwa "Mungu" watumishi wa huyo Mungu wakifaidika nazo tatizo lipo wapi?Sadaka ni matoleo yanayotolewa kwa hiari au kwa misingi ya kiimani kwa ajili ya ibada, kumheshimu Mungu, kuonyesha shukrani, au kusaidia jamii na wenye mahitaji.
Wakorintho 9:13-14,verse ipi
kwenye mpira unatoka na emotions bana na msisimko wa mpira na mpira unauona sasa kanisani unatoka na vitu vya kufikirika ambavyo havina uhalisia yaani ni kama unabeti Mungu yupo au hayupo yaani unahisi vitu ambavyo hujui vipo au havipo.DINI ZOTE MBILI UKRISTO NA UISLAMU NI UTAPELI ULIOWANASA WATU WASIOTUMIA AKILI ZAO VIZURI KWA KUKARIRISHWA NA KUTENGENEZEWA UOGA ILI WASIJINASUEHoja dhaifu sana. Hii hoja hukaririwa na watu wasiopenda kufanya utafiti.
Jee wale wanaokwenda kuangalia mpira na kurudi makwao kwa miguu wakati wenzao wanalipwa mamilioni. Hao nao unasemaje?
Aisee... Kwani Mungu ni nini? Wenye Imani zao wamekwambia kuwa Mungu hayupo. Au wewe ndiyo huna hakika kama Mungu yupo ama hayupo?Kwenye kwenye mpira unatoka na emotions bana na msisimko wa mpira na mpira unauona sasa kanisani unatoka na vitu vya kufikirika ambavyo havina uhalisia yaani ni kama unabeti Mungu yupo au hayupo yaani unahisi vitu ambavyo hujui vipo au havipo.DINI ZOTE MBILI UKRISTO NA UISLAMU NI UTAPELI ULIOWANASA WATU WASIOTUMIA AKILI ZAO VIZURI KWA KUKARIRISHWA NA KUTENGENEZEWA UOGA ILI WASIJINASUE
Mi sadaka yangu naitoa bar na kwa mademu wenye nyashi, kama unanyashi utaipataUmetoka nje ya uzi. Rudi kwenye mstari hata kama umeliwa sadaka ya kujimaliza