Waumini njooni mtoe ya moyoni

Waumini njooni mtoe ya moyoni

Binafsi mimi kati ya IBRAAH na MARIOO namchagua ALIKIBA Kwa sababu DIAMOND ana sauti nzuri ya kucheza.
 
Hii dunia ngumu sana kuielewa,

Kila mtu anatafuta pesa kivyake, na kila mtu anatumia vile anaona sahihi kwake, mwingine anapeleka kanisani, mwingine anapeleka bar, mwingine anapeleka kwa mganga, mwingine kwa malaya mwingine anabet, mwingine anasaidia masikini. Ni vile mtu anajisikia kutumia.

Shida inakuja pale unapodhani wewe unaformula ya maisha kwamba kila mtu aishi na kuamini vile unataka.
 
Back
Top Bottom