😂😂😂😂Mods waliniudhi mimi pia, nilikuwa nimeshaandika maswali yangu napost nakutana na kumradhi sio poa.
Eeenh! hapo umenena hawa wanaume zetu wa kibongo ni wachafu sana. si miguu tu jasho, vikwapa ,mdomo, makegeli.
kiufupi wajirekebishe.
😂😂😂😂Wako bize mitandaoni wanabwata wakiongozwa na MKUU WA MAZEZETA wa wochi bela baki wanasahau hata kupiga mswaki midomo inanuka kama shimo la mavi.
Huwa nachoka sana kufokewa na mtu anayenuka mdomo, unashindwa hata kumsikiliza unabaki kufunika pua.
😂😂😂😂Bela wochi your baki hawasukutui midomo kutwa wako mitandaoni huku hela hawana ni makasiriko tu
Karibu mamyto, pm ipo wazi kwa ajili yako tuuuNakutafuta sana
DuuhHapo secretarybird mwenyw kafurahiii maana hayupo kwenye kundi la wanaume tena toka waanzimishe tamasha lao buguruni
ApiaaaaHuku uswazi ukioga asubuhi na jioni tu basi wanaanza kukutilia shaka
Ukinuka unadhani harufu waisikia mwenyewe tu?Inaonekana una experience nao sana
Jiwe gizani, umefanya jambo jema.Hatutachoka kuwaambia ukweli hadi wajirekebisheeee