Wanaume wengi wananuka miguu

Wanaume wengi wananuka miguu

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
6,024
Reaction score
20,046
Kabla sijaenda kwenye mada kuu natoa dukuduku langu, nilileta uzi mzuri tu ukafutwa bila sababu lakini humu kuna nyuzi kibao za kuponda, kulaani, kutukana jamii ya lgbt zimetulia uongozi wa jf unazichekelea ila sisi wahanga tukitaka kujitetea tunazibwa vidomo vyetu na kutiwa masingi, sasa nasema mod ulofuta uzi wangu kwa mihemko yako mie sijali wala nini, bendera itapeperushwa kama kawaida, upooooo

Walioreport tena wengine vibabu vizee visivyotaka kukaa chini ya mwembe kucheza na wajukuu zao, kutwa kucha kushinda mitandaoni kwenye mada za vijana kusambaza visukari vyao, nawashauri mkubali uzee ushafika tandikeni msala mlie na Mola wenu walau mpunguziwe toba hamna hayaaaaa, mxieeeeeeeee,
Duku duku langu nishatoa, mkimeza mkitema shauri zenuuuuuu😏🤧

Haya jamani wanaume mnaongoza kunuka miguu yaani mtu akivua viatu hadi nzi wanakimbia, panya wanajificha, kunguni wanakufa hii nini jamani!!!😷

Tena mtu mzima huyo bado atataka kulala bila kuoga, yurk

Wanawake zenu wanapitia mengi na kuvumilia mazito, muwaheshimu sana na hata wakibadili majina ya hati za nyumba muwavumilie pia,

Kwanza kwanini mnuke miguu? hamuisafishi eeh, hamvai soksi au hamfui soksi? na kama ni ugonjwa kwanini msiwaone wataalam mjitibie, naweza kuwaelewa wale jamaa wa migodini wanaopiga kazi nzito kwenye jua kali na wanavaa boots muda wote, nyie wengine excuse yenu ni nini? na ushajijua una hilo tatizo kwanini ukirudi tu nyumbani usikimbilie bombani kuosha miguu kabla hujaingia ndani kuchafua hali ya hewa, eeeww!

Muoshe miguu yenu hata mara moja kwa mwezi nendeni mkaoshwe miguu huko masaluni kama huna mke au hamuwezi kufanyiana na mkeo (wangu namuosha mwenyewe ila mie napenda kuoshwa saluni wanajua wale hehehehe),
Vaeni soksi safi na kavu, msirudie soksi mara moja inatosha,
Anikeni raba na boots juani,
Pakeni poda kwenye maungio ya vidole kabla hamjavaa soksi,
Pulizeni manukato ya miguu,
Tumieni foot cream kulainisha na kubalance unyevu unyevu,
Usafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi.

Adios.
 
Ushoga huu mwanaume unakuwaje soft soft ivi mnachkuliaje wanaume yani ukaweke miguu kwenye stuli ili iwe soft huo muda unautoa wapi wewe mlelee mwanao kwa style iyo uone sio kila mada ukiiwaza unaleta hapa mengine fanya kwako na familia yako.
 
sasa nasema mod ulofuta uzi wangu kwa mihemko yako mie sijali wala nini,
Uzi wako utarudishwa tu wala usiwe na hasira hivyo mboni kuna uzi kibao nimeshuhudia zikifutwa baada ya check & balance zinarudishwa na tunachangia bila shida

Mfano huu uzi ulifutwa then ukarudishwa na tukaendelea kuchangia

Kabla sijaenda kwenye mada kuu natoa dukuduku langu, nilileta uzi mzuri tu ukafutwa bila sababu lakini humu kuna nyuzi kibao za kuponda, kulaani, kutukana jamii ya lgbt zimetulia uongozi wa jf unazichekelea ila sisi wahanga tukitaka kujitetea tunazibwa vidomo vyetu na kutiwa masingi, sasa nasema mod ulofuta uzi wangu kwa mihemko yako mie sijali wala nini, bendera itapeperushwa kama kawaida, upooooo

Walioreport tena wengine vibabu vizee visivyotaka kukaa chini ya mwembe kucheza na wajukuu zao, kutwa kucha kushinda mitandaoni kwenye mada za vijana kusambaza visukari vyao, nawashauri mkubali uzee ushafika tandikeni msala mlie na Mola wenu walau mpunguziwe toba hamna hayaaaaa, mxieeeeeeeee,
Duku duku langu nishatoa, mkimeza mkitema shauri zenuuuuuu😏🤧

Haya jamani wanaume mnaongoza kunuka miguu yaani mtu akivua viatu hadi nzi wanakimbia, panya wanajificha, kunguni wanakufa hii nini jamani!!!😷
Tena mtu mzima huyo bado atataka kulala bila kuoga, yurk
Wanawake zenu wanapitia mengi na kuvumilia mazito, muwaheshimu sana na hata wakibadili majina ya hati za nyumba muwavumilie pia,

Kwanza kwanini mnuke miguu? hamuisafishi eeh, hamvai soksi au hamfui soksi? na kama ni ugonjwa kwanini msiwaone wataalam mjitibie, naweza kuwaelewa wale jamaa wa migodini wanaopiga kazi nzito kwenye jua kali na wanavaa boots muda wote, nyie wengine excuse yenu ni nini? na ushajijua una hilo tatizo kwanini ukirudi tu nyumbani usikimbilie bombani kuosha miguu kabla hujaingia ndani kuchafua hali ya hewa, eeeww!

Muoshe miguu yenu hata mara moja kwa mwezi nendeni mkaoshwe miguu huko masaluni kama huna mke au hamuwezi kufanyiana na mkeo (wangu namuosha mwenyewe ila mie napenda kuoshwa saluni wanajua wale hehehehe),
Vaeni soksi safi na kavu, msirudie soksi mara moja inatosha,
Anikeni raba na boots juani,
Pakeni poda kwenye maungio ya vidole kabla hamjavaa soksi,
Pulizeni manukato ya miguu,
Tumieni foot cream kulainisha na kubalance unyevu unyevu,
Usafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi.

Adios.
Wewe unachekesha, unakongoli wenzako.Hao wanaume unakutana nao katika misiba?
 
Njia ya mwongo fupi! Kumbe kuna dume linakufilimba! We mzenji noma
 
".......kuna nyuzi kibao za kuponda, kulaani, kutukana jamii ya lgbt zimetulia uongozi wa jf unazichekelea ila sisi wahanga tukitaka kujitetea tunazibwa vidomo vyetu na kutiwa masingi......"

Kwa nukuu hiyo hapo juu, ina maana wewe ni mhanga!? Hata kama unatumia jina la kificho sidhani kama ni vyema kujitaanabisha jukwaani kwa sifa hiyo kwa kuwa hata sheria za nchi yetu haziruhusu vitendo vya kishoga.
 
Back
Top Bottom