IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 4,567
- 4,052
picha ya AI ya nn sasaYanatendeka kwenye maisha, ukikata moto tu, mashemeji wanakuja kutoa faraja.
picha ya AI ya nn sasaYanatendeka kwenye maisha, ukikata moto tu, mashemeji wanakuja kutoa faraja.
Acha kabisa.Ndiyo maana kuna jamaa anajiita@NikifamkewanguasioleweNa wewe ukiondoka, utakubali wa kwako afanyiwe hivyo?
Vipi kuhusu ujumbe?Achana na picha kama ni orijinale au ja-kubumba.picha ya AI ya nn sasa
kuimba kupokezana, ukifa imeisha hiyo kikubwa mke wang nimemtoa bikra.Na sisi tukiondoka, marafiki zetu watawafariji hivi hivi wapenzi wetu.