Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,646
- 65,142
Nipo msibani, nimekuja kumzika rafiki yangu tuliesoma naye pale chuo kikuu cha uchakataji wa akili.
Kwenye hii picha ninamfariji shemeji yangu, ambaye ni mke wa marehemu rafiki yangu; nime muhakikishia asiwe na wasiwasi wa kuondokewa na mumewe, kwani nitajitahidi kila njia kuziba pengo la rafiki yangu marehemu.
Wakuu, mnanishauri nini kwenye hili?