Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,835
- 27,480
Kwa akili yako bila JK JPM angeenda ikulu? thubutu, this are three smart Men BWM JK and JPM.
we kinda,usiongee usiyoyajua.Lowassa ndio kasababisha Magufuli aende ikulu na sio Jk.Mpango wa JK ulikuwa kumpenyeza Membe kwa mlango wa nyuma,baada ya lowassa kukatwa wapenzi wa lowassa waliokuwa wajumbe wa NEC wakakasirika na kuunganisha nguvu kuhakikisha chaguo la JK(Membe) hapiti kwa namna yoyote kwenda 3 bora,hapo ndio mpira ukamuangukia mpita njia aliyekuwa hajui hata mpambano ulikuwa unachezeshwa kwa kanuni zipi,naye bila ajizi akauchukua akauweka kifuani na kuupiga kuelekea kwenye kundi lile lisilo la kwake,sasa wanaccm wenye mirija ya ulaji ni vilio kila kona,tuombe mungu wasimuhujumu maana hawachelewagi.
NB.Ukitetea maslahi ya wananchi unakua adui namba moja wa ccm