Huu uji wangu wa ulezi na maembe?
Usitunyime bana diko hilo la usiku, najua itakuwa kitu cha ndizi nyama na nazi au wali nazi na rosti la maini.Huu uji wangu wa ulezi na maembe?
Hii picha mpaka kuna wanaJF waliomba huu uzi ufungweTupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio inaiitwa Baris iyo Hilib yaani wali nyamaWasomali Fordsburg Jhb..View attachment 3711231
Nyama tamu balaa huwa nafata nyama tu hapo.Hio inaiitwa Baris iyo Hilib yaani wali nyama