vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mbinu gani unatumia kuhifadhi vyakula vibichi kama mihogo, ndizi, viazi, magimbo vikae kwa muda visiharibike?

    Nimetumiwa vyakula hivyo kutoka kijijini, changamoto inakuja viko kwa wingi ambao siwezi kula ndani ya wiki moja vikaisha, nimegawaia majirani ila bado mzigo upo wa kutosha. Je, nifanye nini kuvihifadhi visiharibike hasa ndizi na mihogo mibichi? Kwa kuanzia nimevimwaga chini kwenye sakafu, ila...
  2. Hance Mtanashati

    Mariam Uswazi ana upekee gani kwenyee vyakula vyake, mbona ni bei sana?

    Ambao mmeshawahi kula kwa Mariam uswazi mtuambie ana upekee gani kwenye vyakula vyake mpaka aviuze kwa bei kubwa sana. Utakuta ana post kachori 6, miguu ya kuku 8 bei elfu 15. Labda amepost chipsi zege na kuku nusu bei elfu 20 . Kachori 8 firigisi 4 kuku robo bei elfu 25. Bei zake haziendani...
  3. A

    KERO Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati. Wanatuharibia vyakula, biashara zinaathirika

    Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati, kuna muda unaweza kukatika asubuhi mpaka kesho yake mchana, changamoto hiyo ipo kwa wiki tatu sasa. Changamoto hii ni kero na inajirudia, kuna vitu vyetu vingi tu vinakwama, biashara zinaharibika, vitu nyumbani vinaharibika pia na kupata Hasara.
  4. MIXOLOGIST

    Embu Taja Vyakula Vinavyostahili Kuitwa Vyakula vya Taifa.

    Chakula ambacho kokote uendapo ndani ya mipaka ya nchi yetu utakipata. Kiwe chakula cha asili na siyo chakula kilicholetwa na wahindi, wazungu au wageni wengine hapa nchini. Kwangu mimi nadhani ni hivi vifuatavyo: 1. Chips yai (zege); 2. Mtori; 3. Ndizi nyama; 4. Makande; 5. Magimbi; 6. Viazi...
  5. Yoda

    Mwanamke mwarabu azua shutuma kila kona Japan baada ya kulalamika vyakula vyote vina kitimoto

    Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake. Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa...
  6. bahati93

    Watanzania tusitupe vyakula

    Ndungu zangu tujenge utamaduni wa kukomba chakula kwenye sufuria au sahani. Haiwezekan wakati binadamu kwenye mataifa mengine wanalia njaa, huku sisi tunatupa vyakula. ona chakula kingi kilivyobaki, hii si sawa nimemwambia binti achukue maji ya kunywa asuuze anikusanyie viukoko kwenye kikombe...
  7. S

    Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

    Habari za jioni wakuu? Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu! Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
  8. Equation x

    Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

    Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile...
  9. Mshana Jr

    Futuhi ya vyakula China! Wanapika mpaka mawe

    Chakula cha mawe" nchini China ni chakula cha kitamaduni kinachoitwa Suodiu (嗦丢), ambapo mawe madogo ya mtoni yanakaangwa na viungo kisha unanyonya ladha yake na kuyatema bila kuyameza. Chakula hiki kimepewa jina la utani kama "chakula kigumu zaidi duniani" kwa maana halisi ya neno kuliko...
  10. Bhakusyobhile

    Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

    Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
  11. stabilityman

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na: Vyanzo vya protini na zinki Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini) Mayai Nyama nyekundu kiasi (beef, kondoo) - zina zinki nyingi muhimu kwa uzalishaji wa mbegu za kiume Karanga na mbegu (hasa mbegu za...
  12. tamuuuuu

    KERO Bei za vyakula kwa wasafiri ni kubwa

    Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini. Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula, Wahusika walifuatilie hili, watu wanaumia sana. Watanzania ni kama hakuna wa kuwasaidia kiuongozi na kiutawala.
  13. P

    Vyakula vya friji

    Jamani ndugu zetu kuweni makini ni kutupashia vyakula vya friji. Juzi kwa aunt nimepewa maharage yameoza. Kutakataa ilikuwa taaabu😕. Nikajikaza kiume
  14. Traxtion

    Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

    Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule Wali Pilau Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya) Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga) Mayai (kukaanga na kuchemsha) Tambi Mboga za majani za kuunga na nyanya Dagaa (same, kukaanga na kuunga) Kuku (wa...
  15. Candela

    Mtu umemuoa afu anakupikia vyakula vya banda la chipsi

    Guys guys, soon ntakuwa single aisee. Nimeloa huyu mwanamke ila kwangu kapageuza Banda la chips aisee. Yaani nakula vyakula ambavyo naweza pitia Banda la CHIPSI chap. Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae...
  16. KakaKiiza

    Je, kuna sababu ya kutungwa sheria kali kwa wanaotengeneza bidhaa feki hasa bidhaa za vyakula na vinywaji wajulikane kama wauaji?

    Wana bodies kasi ya bidhaa feki imekuwa kubwa na watengenezaji hawajali tena afya za watanzania kabisa,na bidhaa hatarishi kwa afraid,zikiwa na kemikali hatarishi,hambazo zimeua vijana wengibkwa sababu ya Figo vitu kama hivyo,je niwakati sahihi wa kutungwa sheria kali sana hata ikiwezekana...
  17. Jayvpapa

    Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  18. Waziri Mayai Wa Maradhi

    Wakenya kukaza mshipi zaidi bei ya vyakula ikipanda

    Kulingana na ripoti iliyotolewa Ijumaa na Shirika la Kitaifa la Takwimu Kenya (KNBS), Februari 27, bei za baadhi ya vyakula zimepanda. Kati ya Januari na Februari mwaka huu, bei ya sukuma wiki ilipanda kwa asilimia 2.4, huku ile ya kabeji na viazi kila moja ikiongezeka kwa asilimia 4.0. Sekta...
  19. M

    Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Back
Top Bottom