win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,579
- 39,376
hauja nijua tu ila mi nafukia karibu kila kituUnakula kama mzungu eeh? We ni kupeleka usukumani Uta survive kweli?
hauja nijua tu ila mi nafukia karibu kila kituUnakula kama mzungu eeh? We ni kupeleka usukumani Uta survive kweli?
Pilau choroko haiendi! Subiri niforce mazingira ya kula mdudupika pilau choroko, we hauoni yangu ni pilau bubu😅😅,, sema mi sipendelei wali mweupe sijui nauonaje
search huko juu kuna pich nyingi nikila mpka maboga au muulize mshamba_hachekwi anafahamu niliko tokaHuyu ndo wale ukimpeleka akale mihogo anakukacha mazima..
Yetu macho mdogo wangu ephen.. Kumbe kuna watu wanakula kiboss hivi?
unitunzie vipande viwili tu😋Pilau choroko haiendi! Subiri niforce mazingira ya kula mdudu
Siku unazokula makande, hatuoni picha humu.nilikoswa maziwa😥
kuna mda nachoka kupost na pia sipiki mara kwa mara ila ikitokea nimepika na nina nafasi ndo kama hivyo natupiaSiku unazokula makande, hatuoni picha humu.
Post na huo ugali maharage tuone.kuna mda nachoka kupost na pia sipiki mara kwa mara ila ikitokea nimepika na nina nafasi ndo kama hivyo natupia
nisiwe muongo silagi ugali maharagePost na huo ugali maharage tuone.
Siku shemeji akikufukuza ndio tutajua kama unakula ama la.nisiwe muongo silagi ugali maharage
alf kanambia nitafute pa kwenda, naomba nije unihifadhi ndugu yanguSiku shemeji akikufukuza ndio tutajua kama unakula ama la.
Mtoto wa kike kukaa kwa shemeji ni sunnaSiku shemeji akikufukuza ndio tutajua kama unakula ama la.
Sipendi nguruwePilau choroko haiendi! Subiri niforce mazingira ya kula mdudu
Basi sawa nitakupeleka usukumani uapakie michembe na shiliiihauja nijua tu ila mi nafukia karibu kila kitu
Ni kweli asemayo huyu slay queen mshamba_hachekwisearch huko juu kuna pich nyingi nikila mpka maboga au muulize mshamba_hachekwi anafahamu niliko toka
Dah! Upo mgahawa gani?Teknocrat Mshana Jr Mr kenice mpo kimya sana
win-one ephen_ mshamba_hachekwi muwe na good afternoonView attachment 3710869
mboga zinashawishi upate na kaugali falani hivi kalainiiii🤤🤤😋Teknocrat Mshana Jr Mr kenice mpo kimya sana
win-one ephen_ mshamba_hachekwi muwe na good afternoonView attachment 3710869
shiliii ni niniBasi sawa nitakupeleka usukumani uapakie michembe na shiliii
Hata nikikuelezea huwezi kujua mpaka uone kwamachoshiliii ni nini
Mkuu unakula mlo ambao pesa yake mimi nakula week nzima?Teknocrat Mshana Jr Mr kenice mpo kimya sana
win-one ephen_ mshamba_hachekwi muwe na good afternoonView attachment 3710869