Even MOre
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 343
- 554
- Thread starter
- #41
La Sheikh Yahaya liko sawa na tafakari hii inawezekanaje usipate kujua ikiwa una viumbe wenye taarifa za yajayo.?Alikufa
1. TB Joshua wa Nigeria, bingwa wa kufufua watu
2. Alikufa mama ake gwajiboy, Bingwa wa kufufua watu bongo
3. Akafa shehe yahya, bingwa wa majini na utabiri. Ila alishindwa kutabiri kifo chake.