Uwezo wa Viumbe Majini

Uwezo wa Viumbe Majini

Nimekuuliza swali badala ujibu nawe tena unauliza..
HAKUNA SURAT WALA SAYANSI INAYOELEZEA NAMNA YA KUZUI KIFO
acha kuandika porojo kama uko facebook mkuu.
Hujajibu swali hio Surah Al Jinn inahusu nini na alikua anaitumia Marehemu Sharifu Majini kwenye mambo mambo yake nishawahi mkuta sehemu kawakusanya wanawake kibao anawafanyia kisomo, tena wateja wake wakubwa walikua wanawake.. haya niambie hio Surah Al Jinn inahusu nini? Hicho ndicho anachokitaka kukijua mleta mada usione kauliza kitoto toto hajagusa Msahafu ila lengo ni kuipasua Quran vipande vipande
 
Mkuu nilikuuliza narudia tena.
1.uko sawa kiafya ya akili?
2.wewe ndo umemkuta anawafanyia hao watu kisomo nikauliza sasa wewe ulivokuta akiwafanyia kisomo kwa kutumia hiyo surat jini hiko kisomo ndo kilikuwa wanafanyiwa kuzui KIFO?
 
Hapa mkuu lengo ni tupate uelewa kwa wenye kujua lakini tuweke mambo ya udini pembeni kwa faida ya wengi.
 
Mkuu nilikuuliza narudia tena.
1.uko sawa kiafya ya akili?
2.wewe ndo umemkuta anawafanyia hao watu kisomo nikauliza sasa wewe ulivokuta akiwafanyia kisomo kwa kutumia hiyo surat jini hiko kisomo ndo kilikuwa wanafanyiwa kuzui KIFO?
Mboni unazunguka kujibu swali Surat Al Jinn inahusu nini na kwanini ipo kwenye Quran?
 
Hujajibu swali hio Surah Al Jinn inahusu nini na alikua anaitumia Marehemu Sharifu Majini kwenye mambo mambo yake nishawahi mkuta sehemu kawakusanya wanawake kibao anawafanyia kisomo, tena wateja wake wakubwa walikua wanawake.. haya niambie hio Surah Al Jinn inahusu nini? Hicho ndicho anachokitaka kukijua mleta mada usione kauliza kitoto toto hajagusa Msahafu ila lengo ni kuipasua Quran vipande vipande
Hajaigusa Msahafu ila lengo ni kuipasua Qur an vipande vipande?
Unapasuaje kitu vipande vipande bila kukigusa?
 
Mboni unazunguka kujibu swali Surat Al Jinn inahusu nini na kwanini ipo kwenye Quran?
Surat jini inaelezea kuwepo kwa majini na baadae baashi nao wakasilimu na wengine wakabaki bila kusilimu.

Ipo kwenye Qur an kuelezea kuwa hata majini nao walimfata mtume sio wanadamu tu.

Swali langu kwako wewe wapi umesoma katika hiyo surat jini aya gani au mstari upo unaosema Surat jini inazuia kifo?
Au wapi umesoma kuwa faida ya surat jini ni kuzuia kifo?
 
Hajaigusa Msahafu ila lengo ni kuipasua Qur an vipande vipande?
Unapasuaje kitu vipande vipande bila kukigusa?
Hakuna alipotaja Quran ila kamtaja Shekhe anaesoma Quran na Quran ina Surat Al Jinn na ndicho alichokua anakilenga yeye km hujamuelewa niambie nikufungulie hizo nut kichwani kwako maana naona huelewi mada umevamia tu
 
Nimeshakuelewa kichwa chako kikoje haya twende sasa.
Alicholenga ni surat jini haya halafu baada ya kulenga Surat jini?
 
Surat jini inaelezea kuwepo kwa majini na baadae baashi nao wakasilimu na wengine wakabaki bila kusilimu.

Ipo kwenye Qur an kuelezea kuwa hata majini nao walimfata mtume sio wanadamu tu.

Swali langu kwako wewe wapi umesoma katika hiyo surat jini aya gani au mstari upo unaosema Surat jini inazuia kifo?
Au wapi umesoma kuwa faida ya surat jini ni kuzuia kifo?
Sasa soma vizuri alichoandika mleta mada.. anachomaanisha ni kwamba Majini hayana chochote cha maana km hayawezi kuzuia kifo basi ni useless kwa watu kujihusisha nayo, hicho ndicho alichokimaanisha maana yake ni kwamba ni watu wajinga pekee ndio wanaojihusisha na majini maana hawana uwezo wa kuzuia kifo sasa wana faida gani kua nao au kujihusisha nao km hawana uwezo wa kukizuia kifo? Sijui unanielewa Shekhe?
 
Comment yangu ya kwanza nilimjibuje?
 
Alikufa
1. TB Joshua wa Nigeria, bingwa wa kufufua watu
2. Alikufa mama ake gwajiboy, Bingwa wa kufufua watu bongo
3. Akafa shehe yahya, bingwa wa majini na utabiri. Ila alishindwa kutabiri kifo chake.
Mkuu upo karibu sanaa looh.
 
Mimi nimemaliza. Km hujanielewa sirudii tena.
Hii hapa coment yangu ya kwanza wewe ukaja kuhusisha surat jini nikakuuliza hiyo surat jini umefundishwa kuwa inazuia kifo?
Hujajibu mpaka sasa.
 
Attachments

  • Screenshot_20261120_000247.jpg
    Screenshot_20261120_000247.jpg
    88.7 KB · Views: 2
Comment yangu ya kwanza nilimjibuje?
Hapa tunaweza tukakesha tunajadili kitu kilekile bila kufika hitimisho.

Nitarudia swali la mleta mada linasema ; km majini hayana uwezo wa kuzuia kifo yana faida gani kujihususisha nao hao viumbe wasioonekana?

Hivi Rakims yupo wapi siku hizi?
 
Hii hapa coment yangu ya kwanza wewe ukaja kuhusisha surat jini nikakuuliza hiyo surat jini umefundishwa kuwa inazuia kifo?
Hujajibu mpaka sasa.
Mimi nimeingia ndani kwenye majini yenyewe ambayo yanasomwa kwenye hio Surah. Sasa niambie yana faida gani km hayawezi kuzuia kifo?

Kuna mother mumewe anafanya hizo shughuli za kufuga majini, sasa kuna siku akawa anaulizwa maswali magumu mengine akawa anashindwa kuyajibu mfano wewe unaefuga majini ukifa ukayaacha hayo majini yanabakia na nani?
 
Hapa tunaweza tukakesha tunajadili kitu kilekile bila kufika hitimisho.

Nitarudia swali la mleta mada linasema ; km majini hayana uwezo wa kuzuia kifo yana faida gani kujihususisha nao hao viumbe wasioonekana?

Hivi Rakims yupo wapi siku hizi?
Rakims wa nini mbona unakwepa swali?
Nimekwambia surat jini inaelezea kuwepo kwa viumbe majini na wengine walisilimu wengine wakagoma.

Swali langu kwako ni lile lile mimi nilimjibu mtoa maada kuwa kifo hakina kinga
Wewe ukasema na surat jini je ni uongo wa mudi kwa maana ukimaniisha uwepo wa Surat jini unazuia kifo.

Nikakuuliza ni wapi ulisoma ama aya katika Qur an au sehemu gani ulisoma kuwa Surat jini inazui kifo?
 
Back
Top Bottom