uwezo

  1. Pakome

    Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  2. Pakome

    Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  3. Parabolic

    UWEZO yakaribia kukamilisha tathmini ya ujifunzaji kwa watoto Tanzania

    Dar es Salaam. Shirika lisilo la kiserikali la UWEZO Tanzania limekaribia kukamilisha zoezi la tathmini ya ujifunzaji kwa watoto kwa mwaka 2026, linalohusisha kaya 23,052 katika maeneo 1,151 ya kuhesabia watu Tanzania Bara na Zanzibar. Tathmini hiyo inayolenga kupata picha halisi ya uwezo wa...
  4. Zack Abdul

    Tanzania yaongeza uwezo wa uzalishaji wa mabati, yazidi mahitaji ya ndani

    Tanzania inazalisha tani 260,000 za mabati kwa mwaka dhidi ya mahitaji ya ndani ya tani 130,000, sawa na uzalishaji unaozidi mahitaji kwa mara mbili. Hali hiyo inahusishwa na hatua za kulinda viwanda vya ndani kupitia kuongeza ushuru wa mabati yanayoagizwa kutoka nje kutoka asilimia 10 hadi 35...
  5. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  6. Yoda

    Vitu gani vitatu ungekuwa na uwezo ungeviondoa kuifanya Tanzania kuwa bora ?

    Ondoa vitu vitatu kuifanya Tanzania kuwa bora 1. CCM 2. Dini 3. Machawa 4.Ushoga 5. Rushwa 6. Muungano 7. Ukosefu wa ajira 8. Gharama kubwa za maisha 9. Uoga
  7. Roving Journalist

    Serikali yaendelea kuimarisha uwezo wa nchi kujiandaa na maafa kwa kutoa mafunzo

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea kuimarisha uwezo wa nchi katika kujiandaa na kukabiliana na maafa kwa kutoa mafunzo kwa Timu ya Taifa ya Kukabiliana na Dharura, inayolenga kuongeza ufanisi wa uratibu na utekelezaji wa hatua za kukabiliana na matukio ya dharura. Hayo yameelezwa...
  8. Dennis Robert Shughuru

    Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

    Lema uwezo wake ni mdogo kwenye mambo mengi sana ila leo ntaongelea chapisho lake linalohusu katiba mpya 👇👇👇👇 Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale Fikra zetu zipo...
  9. Dogoli kinyamkela

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa. Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
  10. Mad Max

    Tesla wamezindua Second Generation Tesla Roadster. Ina uwezo wa Kupaa, Range Kilometa 1,000 na iko fast, 0-100 km/h chini ya Sekunde Moja!

    Baada ya kusubiri sana, zaidi ya miaka Tisa, hatimaye Tesla wametuletea Roadster 2, ambayo mbali na sifa kibao, Ina uwezo wa Kupaa. Kwa kutumia compressed air thrusters, kutoka SpaceX technology, gari Ina paa kwenye matuta and inaweza kuperform baadhi ya stunts ikiwa hewani. Kwenye X...
  11. Wazolee

    Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

    Niende katika hoja Moja Kwa Moja Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata...
  12. Tajiri Tanzanite

    Arajiga ndio ana uwezo wa kuifunga Simba ila Yanga kama yanga hana uwezo

    Hapo VIP! Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali; mzazi anayetaka na kudai matunzo ya mtoto asikae na Mtoto. Full stop!

    SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama. Huruma sio malezi. Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa. Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
  14. Tijuana

    Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone:

    Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone: 0716161683
  15. Tijuana

    Jiko: PLATE 3 ZA GESI Uwezo: Linapika chips yai 3 kwa pamoja au sufuria tatu kwa pamoja. Linakupa urahisi wa kuhudumia wateja wa tatu kwa Pamoja.

    Jiko: PLATE 3 ZA GESI Uwezo: Linapika chips yai 3 kwa pamoja au sufuria tatu kwa pamoja. Linakupa urahisi wa kuhudumia wateja wa tatu kwa Pamoja. ⏭️3 Gas burners Status: Used like New Bei: 300,000/= Mob: 0716 161 683/WhatsApp
  16. Scars

    Upinzani pembeni: Itakuwa ni kumkosea heshima Messi bila ku-appreciate uwezo wake kwenye soka. Thank you for everything Messi the 2nd greatest ever.

    Hatimaye, dunia inashuhudia mwisho wa enzi kule Amerika Kusini. Lionel Messi ameamua kutundika daruga zake rasmi kwenye ngazi ya timu ya taifa ya Argentina. Kama wapenzi wa soka wa kweli na wale ambao tunajua vizuri maana ya misuli, mazoezi magumu, na kufanya kazi kiume hatuna budi kusimama na...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    MO29 ilinifanya nijitathmini upya uwezo wangu wa kukimbia. Sikuamini mpaka wanawake walikuwa wakinipita kama nimesimama

    Hamjambo! Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29. Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu linanisapoti kufanya mijongeo freestyle, na moves za kasi kuliko kawaida. Shuleni kwetu nilikuwa moja ya...
  18. Khantwe

    Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Habari zenu wakuu. Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
  19. E

    Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  20. Jannatul Firdaus

    Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

    Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao. Kwa...
Back
Top Bottom