DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,361
- 109,726
Wanawake wa kichaga wanatamani kupendwa ila wao hawajui kupenda shida inaanzia hapo. Hawana soft skills za mahusiano
Hili ni kweli, nmelishuhudia 100%
Wanawake wa kichaga wanatamani kupendwa ila wao hawajui kupenda shida inaanzia hapo. Hawana soft skills za mahusiano
Lisemwalo lipo...
NaamWanawake wa Kichagga ni kama wanawake wa Kikuyu wako sharp kichwani, kama akili zako ni za ku download usifunge nao ndoa ama kujiingiza nao kwenye mahusiano ya muda mrefu watakutesa, wakati wewe unawaza kutembea wenzio wanakimbia.