Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 5,454
- 11,171
Kwahiyo hawaolewi na hawazaliani siyo?kama wasiha,wamachame,wakibosho,wauru hizi namba mbovu mno mkuu mm mzaliwa wa uchaggan na mazingira na ya fahamu
Kwahiyo hawaolewi na hawazaliani siyo?kama wasiha,wamachame,wakibosho,wauru hizi namba mbovu mno mkuu mm mzaliwa wa uchaggan na mazingira na ya fahamu
aje akaribia moto ukimuuguza asilieWe jamaa unadanganya umma kwani ukioa ukaenda naye usukumani hizo nguvu za kukutawala zitatoka wapi acha kuwavunja moyo vijana ambao wana ndoto za kuoa uchagani
Mi nimeoa mchagga huu mwaka wa 12 tunapetaaje akaribia moto ukimuuguza asilie
Bora upige nyeto mpaka mtoto wa Mungu arudiMdau usidhubutu kuoa mchagga.ukijichanganya ukaoa mchagga jua kuna RedFlag mbele nishakusanua mapema.
Tabia na kabila ni vitu tofauti!Mi nimeoa mchagga huu mwaka wa 12 tunapeta
Wewe kwa kauli yako hauna hela umepauka udongo wa kule same Pumbavu zako
Hakika pachaTabia na kabila ni vitu tofauti!
Uyu mleta mada ana matatizo yake.
Mchaga umewaka motoAcha ujuha
mim ni cross breed😂Mchaga umewaka moto
Hakunaga cross breed😂ww ni mchaga OG mimi shahidimim ni cross breed😂
haya mama😊Hakunaga cross breed😂ww ni mchaga OG mimi shahidi