Usijichanganye kuoa mchagga

Usijichanganye kuoa mchagga

Kama kuna kosa nilifanya maishani ni kutooa 'CHALLENGE'!
Mwanamke wa kichaga, CHALLENGE, lazima atakupa msukumo wa maendeleo na kukuzalia 'CHALLENGE' za taifa lijalo! NA WENGI WAMEUMBIKA AISEE! 🥰
 
Hapa nafikiri ungeelekeza ushauri kwa watu wa kanda ya ziwa huko. Hasa Wasukuma, Wahaya na kwa mbali Wakurya ndio wanaongoza kuoa mabinti wa kichagga. BTW siku hizi kila kabila lina watu wazuri na watu wa hovyo.
 
Mdau usidhubutu kuoa mchagga.ukijichanganya ukaoa mchagga jua kuna RedFlag mbele nishakusanua mapema.
Hoja unayo,
sema wengi wanao toa maonyo juu ya kuoa uchagani, hawatoi maelezo ya kutosha.
Iko hivi:
1.Anataka yeye ndiye awe na mamlaka ya mwisho, Hapendi maamuzi yafanywe bila ridhaa yake, lakini wakati mwingine yeye mwenyewe hufanya maamuzi bila wewe.

2.hawana utamaduni wa kukubali makosa: Hata anapokosea, hutafuta sababu za kujitetea au kukulaumu wewe.Badala ya kutafuta suluhisho, mazungumzo yanageuka kuwa mashindano ya nani ana makosa.

3.Haoni thamani ya juhudi za mume: na huu ndio utamaduni mbaya zaidi. sio watu kwa kuto pongezi kwenye mafanikio au hatua flani za kimaisha, wao ni watu wa kulaumu, kukosoa, kupinga tu. Ukitembea kosa, ukisimama kosa, ukikaa kosa, ukikimbia kosa, ukilala kosa, hata ukiwa na mabawa ukaruka kama ndege ni kosa. Na baada ya lawama kifuatacho ni dharau

4.Anataka kuheshimiwa lakini haheshimu mume.Anadai heshima, lakini anaweza kutumia maneno ya kudhalilisha, kubeza au kupuuza maoni ya mwenzi wake.Habari za utii na unyenyekevu na uaminifu sahau hawajaumbwa hivyo.
5.kutumia watoto kama sehemu ya mgogoro. na hii ndio inawatafuna wengi walio zaa nao. Yuko tayari watoto wale mchanga au kokoto kukukomoa!
6.Hupenda kudhibiti matumizi ya fedha.Anaweza kutaka kujua kila matumizi ya mume, lakini hataki kuweka wazi matumizi yake mwenyewe.
7.Hawana upendo wa kweli, we wasikilize wakiongea utafikili ni malaika. Jichanganye
8.Hataki kuwajibika katika kurekebisha ndoa.Anataka mume ndiye abadili tabia zake, lakini yeye haoni sababu ya kujichunguza au kubadilika.

HAO WATU ACHENI WAONE WAO KWA WAO.
 
Back
Top Bottom