Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,436
- 56,989
Basi awatupeAliwaokota
Basi awatupeAliwaokota
Kama aliwanunua?Basi awatupe
Huna uhakikaKama aliwanunua?
Nakubari kwenye mimba hapoUsiache mtu nyuma mkuu nenda nao sambamba, ikibidi kila mmoja mtie mimba kabisakabisa tayari kwa lolote😎
Amina
Mtumishi wa bwana kanisa lako liko wapi
We tena!!Nakubari kwenye mimba hapo
Haaaaaaaaaaaaaah jali chakoMkishanwaga mnadharau! Zile sifa umemimina pale kumbe unafki🫢
Jamaa anaweza kuvua humu....He is very clever kwa hiyo "APPROACH" YAKE...
Hivi shule zinafunguliwa lini? Na likizo hii ilivyo ndefu mpk tufike tumechokaHabari za muda kidogo wana jf. Kiukweli kabisa nimechoka umalaya je nawezaje kuacha
Kiufupi mi ni Me nina familia na iko vizuri kabisa maana nina hudumia na I inapata mahitaji yote pamoja na miradi mbali mbali inaenda.
Ila sasa nimejikuta niko kwenye mahusiano mengine na wapenzi zaidi ya 5, 1 ni wa chuo pisi kali binti dogo dogo ambaye nimempangishia nahudumia pamoja na kausafiri, 2 ni cooperate baddies aiseee hawa wamepanga apartments ila sasa kisanga changamoto zao wakiomba hela ni zile nzito nzito ila wako good sana kwenye kujali, 1 ni mtaasisi kitengo na ni mzito kunako gavoo huyu huwa tunasortiana mambo mbalimbali na hata mipango ya kimaendeleo yuko vizuri na anajua nina familia na wa mwisho yuko mtaani ni mfanya biashara tu wa kati ni mtu mwenye mipango Safi na vision kubwa na anajua nini anataka na kwa wakati gani changamoto yake ni kwamba anataka tuwe na familia na mm sihitaji hilo na yeye ingawa ana sifa zote za kuwa mke mtiifu na anasema kanipenda anataka tujenge familia hata kama nina familia
Shida yangu nataka nipunguze hapo walau nibaki hata na mchepuko mmoja ila sasa wote mi nawapenda sana nifanyeje ili nipunguze
Akikupitia af akakuomba ndogo utamnyima? Vijana wa siku hizi hovyo sana🚮Nipitie babu😆
Hii story mzee mwenzangu umeiamini kabisa😅 Hapa kuna chai inanukiaMmmh, watano ni wengi sana. Huyo mcheps mmoja tu naona mzigo, sema tamaa za fish.
Tafuta namna ubaki na mmoja, kuna mbinu jamaa kashauri hapo juu, iko poa sana, waingie kiuchumi uone kama kwanza huyo dogo wa chuo atakupiga chini mda huo huo, ninayeona utakaa nae ni huyo jasiria mali, wanakuwa wavumilivu hao.
Sijakuelewa nani akaniomba na kwanini uwaze huo usenge? We unavyoona hapo ananipitia kmmk!Akikupitia af akakuomba ndogo utamnyima? Vijana wa siku hizi hovyo sana🚮
Faida zake?Huwezi kuwa na mafanikio ya kushangaza sana kama vile kuwa tajiri ukiendelea hivyo.
Kwenye kitabu cha The Millionaire next door kilichoandikwa na Dr. Thomas Stanley, anasema asilimia kubwa ya Millionaires aliyowafanyia interview wana mke mmoja na hawajawahi kuwaza ku_remarry again wala kuwa na michepuko.
Utakuwa unalishwa takataka mpaka basi na yote hayo umeyataka mwenyewe? Hivi mwanaume haiwezekani kabisa kuwa na mke tu na ukatulia? Au mimi nikoje jamani? Ulishindwa nini kuwa na mke pamoja na mchepuko mmoja? Hiki hapa ndicho kinakuhusu!Mjomba nimekamilisha vitu vyote vya mahitaji ya msingi ya kibinadamu na mengineyo ambayo aslimia 95 ya watanzania pengine wasiyafikie unasemaje siwezi kufika