Umalaya umenishinda, naachaje?

Umalaya umenishinda, naachaje?

IMG-20261127-WA0000.jpg
 
Kwanza mkuu hao ulionao ni wachache sana
Ilibidi uongeze wafike hata 10 unasajili na laini yao maalum kabisa.
Ilabkwa kuwa umeshakuwa muoga njia ya kuwacha ni kuwanyima huduma ya pesa tu ila ni mchakato.

Njia fupi mno ni kumpa mmojawapo mimba .
 
Nashukuru So far huu ndio ushauri bora kabisa nimepokea
Nijifanye nimeishiwa halafu niwaomba hata wanipige tafu tuone nani atajitahd walau

Waambie wote tena kwa utulivu kuwa kuna mistake umefanya ofisin na ikasababisha hasara. Sasa management imeniambia kwa usalama wa kazi yangu niirudishe ndan ya miez 6.

Na ndan ya muda huo nitakuwa napokea 25% ya salary ili kumudu gharama za maisha na pia inabidi ukope.

Kwahiyo bado unachanganya akili unakopaje kumaliza ndan ya miez hiyo 6. Au uuze nn . Na uone nan atakushaur vizur.

Ila all in all.
Sitisha huduma.
Utaona yupi ni sahihi.

Pia utaona yupi atapunguza mazoea. Nadhan unajua mahusiano ya wakubwa sio kutumiana sms kuwa sikutaki. Ni kujipunguza tu kidogo kidogo.
 
Asante sana mkuu hapa ni bongea wazo
Ngoja niingie mzigoni
 
Back
Top Bottom