Umalaya umenishinda, naachaje?

Umalaya umenishinda, naachaje?

Waambie wote tena kwa utulivu kuwa kuna mistake umefanya ofisin na ikasababisha hasara. Sasa management imeniambia kwa usalama wa kazi yangu niirudishe ndan ya miez 6.

Na ndan ya muda huo nitakuwa napokea 25% ya salary ili kumudu gharama za maisha na pia inabidi ukope.

Kwahiyo bado unachanganya akili unakopaje kumaliza ndan ya miez hiyo 6. Au uuze nn . Na uone nan atakushaur vizur.

Ila all in all.
Sitisha huduma.
Utaona yupi ni sahihi.

Pia utaona yupi atapunguza mazoea. Nadhan unajua mahusiano ya wakubwa sio kutumiana sms kuwa sikutaki. Ni kujipunguza tu kidogo kidogo.
Unajipinda kutoa ushauri mkuu😂
 
Mmmh, watano ni wengi sana. Huyo mcheps mmoja tu naona mzigo, sema tamaa za fish.

Tafuta namna ubaki na mmoja, kuna mbinu jamaa kashauri hapo juu, iko poa sana, waingie kiuchumi uone kama kwanza huyo dogo wa chuo atakupiga chini mda huo huo, ninayeona utakaa nae ni huyo jasiria mali, wanakuwa wavumilivu hao.
 
Back
Top Bottom