VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,486
- 1,451
Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ambae ni mpatanishi katika mzozo wa kisiasa kati ya Rwanda na Congo,leo amemtembelea rais Kagame wa Rwanda. Ni katika juhudi za kutafuta suruhu la kudumu,ili kuleta amani ya kudumu,mashariki mwa Congo huko.