uhuru

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi Nyerere

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa katika picha ya pamoja na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya miaka 27 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Gwaride la Vijana Mwenge wa Uhuru 2026 Sumbawanga

    GWARIDE LA VIJANA WA HALAIKI WAKIWA WANACHEZA KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2026. 📸📍Sumbawanga, Rukwa. Sehemu ya Gwaride la Vijana wa Halaiki wakinogesha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru.
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 mkoani Rukwa

    📍Uwanja wa CCM Nelson Mandera, Sumbawanga Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa pamoja katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Sumbawanga Mkoani Rukwa. Mwenge wa Uhuru unaendelea kuwa alama ya umoja, uzalendo na uwajibikaji wa pamoja. Ni jukwaa linalounganisha Serikali na wananchi...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere Oktoba 14, 2026: Baadhi ya Nukuu Muhimu za Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere

    Katika video hii ya kihistoria inayokumbusha misingi ya taifa, Mwalimu Nyerere anasisitiza kuwa maendeleo hayawezi kutenganishwa na uhuru wa watu binafsi. Kwa mujibu wa Mwalimu, maendeleo ya vitu (kama barabara na majengo) hayana maana ikiwa hayamkomboi mwanadamu na kumpa nafasi ya kuamua hatala...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rekodi kabambe alizoweka Rais Samia kwa watumishi wa umma Tanzania

    Nyongeza ya mishahara iliyovunja rekodi ya 35.1% na 23.3% baada ya kuondolewa miaka 6 na ajira mpya 96,000, kupunguza kodi ya mshahara (PAYE), kupandisha vyeo watumishi 631,000, kulipa madeni, malimbikizo zaidi ya Trilioni 1. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumanne kwenye Gazeti la Uhuru ukurasa wa...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MWENGE WA UHURU NI FARAJA KWA WAFANYABIASHARA MKOANI RUKWA

    Bi. EVA MBIRU mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameishukuru Serikali ya Tanzania kutoa nafasi kwa wakazi wa Rukwa kuidhimisha kilele cha mwenge wa uhuru maana imewapa fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ujio wa wageni wanaotoka maeneo tofauti ndani ya Tanzania
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MWENGE WA UHURU NI ALAMA YA UMOJA. VIJANA TUENDELEE KUWA CHACHU YA MAENDELEO YA TANZANIA

    Mbio za Mwenge wa Uhuru ni fursa ya kutambua umuhimu wa usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa manufaa ya wananchi. Bi. BALBINA ANDREW mkazi wa jiji la Mwanza ameishukuru Serikali ya Tanzania kutoa fursa kwa vijana katika kushiriki mbio za mwenge. Ameeleza namna mbio za mwenge...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru wageuka baraka kwa wafanyabiashara Sumbawanga

    Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao. Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
  9. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Habari na Uhuru wa Vyombo vya Habari: Je, Taifa Linarudi Nyuma Kidijitali na Kiuhuru? (Mifano Halisi ya Unyanyasaji wa Wanahabari)

    Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania MPIGA PICHA BEVIN THIPA MSOWOYA ALIVYOHIFADHI HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA

    Picha ya kwanza ni Bwana Bevin Thipa Msowoya mpiga picha bingwa na maarufu akiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Msowoya alikuwa na studio yake Magomeni ikijulikana kama Africa Photo Center. Picha hizo hapo juu ni picha alizopiga katika tawi maarufu la TANU aliloanzisha Ali Msham nyumbani...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Nafsi: Uhuru Wako Unaanzia Wapi?

    Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira unayoitaka—au unayejua ndio inayotarajiwa na watu —wakati ‘wewe’ wa faraghani hubeba taswira halisi (real...
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tanzania na uhuru wa Palestine inatusaidia nini !

    Heshima sana wanajamvi, Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine. Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika. Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata...
  16. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwalimu nyerere alipoteza muda wake bure kuwapambania vijana kama hawa wapate uhuru

    Tazama hio video kisha sema watu kama hawa walipambaniwa kupata uhuru burebure
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Haitawezekana Kuifuta Historia ya Uhuru wa Tanganyika kwa Kupenyeza Historia Mbadala

    https://youtu.be/W9d6zalruoU?si=sbNzB0Ty7a_EjWri
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kenya vina jisimamia kwa uhuru sana sio kama vya Tanzania hasa pale Jalalani

    Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda. Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

    Hamjambo! CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao. CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili. Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa...
Back
Top Bottom