uhuru

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Uhuru na Walinzi: Je, Historia Inajirudia?

    Rais William Ruto jana, Agosti 6, 2026, aliwakutana na maafisa wa usalama binafsi zaidi ya 5,000 State House, ambapo aliahidi kubadilisha matumizi ya majina “watchman” na “guard” na kuwatambua rasmi kama Private Security Officers (PSOs). Ruto pia alizungumzia kuboresha mishahara, heshima na...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta : Sijawahi kugusa bangi maishani mwangu

    Hayo yamesemwa na raise mstaafu wa Kenya alipokuwa akiongea na vijana wa shule ya upili ya Alliance. Kenyatta aliongea mambo mengi ikiwemo madhara ya madawa, kushindwa kufikia malengo saba u ya uraibu nk.
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes walisema: "tuanzishe taasisi nyingine ili tuiondoe Uislamu ndani ya African Association". Jambo hili...
  7. Vien

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi wanauonea wivu uhuru wa waliojiajiri, lakini hawajui gharama ya huo uhuru

    Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara. Waajiriwa wengi wanawatazama waliojiajiri kwa jicho la wivu. Wanaamini kujiajiri ndiyo uhuru wa kweli. Unaamka muda unaotaka, unafungua biashara muda unaotaka, unafunga muda unaotaka, hakuna boss wa kukupangia ratiba, hakuna mtu wa kukuuliza kwa nini...
  8. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  9. R

    JamiiForums Tanzania Asante Prof Emeritus Shivji kwa kupaza sauti ya Uhuru wa Dr. Kaijage

    What next? Wewe siyo raia and deserves to be deported to India/ Pakistan or somewhere else of that nature.
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/TFgNAKhXvkA?si=yZRkLlA-39W6CCjA
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka Mapinduzi ya Syria na kuanza kuona nchini kwetu jinsi uhuru unavyozidi kupunguza umri wa kuuliza

    Syria ilifikia mpaka kila mtu uhuru wa kuhoji ulikosekana. Siku moja watoto waliandika "Samia must go" .Kilichotokea walitekwa na kuumizwa sana na ndio mwanzo wa nchi ilipofikia hapo. Kwa haya ya nchi usishangae wanafunzi wa sekondari au msingi wakatekwa kisa kuhoji kwenye vifaa vyao...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kingwendu alikuwa tofauti sana. Tukio lake limewahi kufanywa na watanzania watatu tu toka uhuru

    Zamani ilikuwa kawaida sana kwa mwanafunzi kurudia shule baada ya kutokufanya vzuri matokeo ya darasa la saba. Kwa kawaida mtu alirudia darasa la 5, 6 au 7 lakini si vingine. Baada ya kumaliza darasa la saba na kufanya vibaya, msanii Kingwendu aliamua kurudia darasa la kwanza kabisa. Hii kama...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu!..Tundu Lissu apata nafasi adhimu ya uhuru wa kuzungumza na mawakili bila kuzungukwa na Mapolisi wa kininja mahakamani leo

    https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi. Nitatoka na nitawakuta huko mtakakokuwa. Nisiwakute nilipowaacha. Nikiwakuta palepale nilipowaacha...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  16. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Sex inamdhalilisha sana mwanamke

    Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewi pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni kweli Kama nature imetaka hivyo Kuna sehemu imemuonea mwanamke kibaya zaidi apate mimba akazae aingie...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mkoloni mweupe angekataa kuondoka 1961 nahisi Tanganyika tungepata uhuru 1990

    Ingekuwa mkoloni sio muelewa basi muda ungekuwa extended hadi 1990
  18. O

    JamiiForums Tanzania FALSE Ruto said he warned his people, but they didn't listen to him

  19. simplemind

    JamiiForums Tanzania Tamko la Uhuru wa Marekani

    IN CONGRESS, July 4, 1776. The unanimous Declaration of the thirteen united States of America, When in the Course of human events, it becomes necessary for one people to dissolve the political bands which have connected them with another, and to assume among the powers of the earth, the...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kama Hujui Waulize Wanaojua: Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchango wa Sheikh Hassan bin Amir: Mohamed Said anaeleza kuwa Sheikh Hassan bin Amir, aliyekuwa Mufti wa Tanganyika miaka ya 1950 na 1960, alikuwa na mchango mkubwa kwa kuuza kadi za TANU ndani ya msikiti na kuhamasisha Waislamu kumuunga mkono Mwalimu Nyerere ili kuikomboa nchi kutoka kwa...
Back
Top Bottom