VEN Ken
Member
- Nov 3, 2026
- 28
- 49
Machafuko yote unayoona duniani ,ukichaa wa kidini,ukichaa wa siasa,ukichaa wa vyeo ,kutawala wengine vyote vinasababishwa na pesa,Pesa imeleta machafuko,ukiwa una uchumi duni jua utajiingiza kwenye mifumo hatari iwe biashara za kuua wengine au madawa au ngono zembe,ukiwa na hela halal kias huwez teseka,ukiwa na hela haramu nying unakuwa mwehu,Pesa ndo chanzo Cha matatizo na machafuko duniani ,Amini hili