Machafuko yote unayoona duniani ,ukichaa wa kidini,ukichaa wa siasa,ukichaa wa vyeo ,kutawala wengine vyote vinasababishwa na pesa,Pesa imeleta machafuko,ukiwa una uchumi duni jua utajiingiza kwenye mifumo hatari iwe biashara za kuua wengine au madawa au ngono zembe,ukiwa na hela halal kias...
BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE
Na GULATONE MASIGA
Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
Habari wana JF. Mimi ni member wa muda mrefu ila kwa muda kidogo sikuwa nimeingia humu na bahati mbaya nikawa nimesahau Login details hivyo kunipasa kufungua Ac mpya.
Kuna kitu kinanipa maswali mengi kuhusu hii kitu inaitwa HIV. Niliwahi pita na mtoto mmoja wa kimbulu miaka ya 2020 wakati...
Salaam wanajamii forum!
Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani).
Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini?
Naam mikoa flani ya kanda ya kati.
Ndani ya chuo "Fedenge" kuna Disco la kuwakaribisha mwaka wa kwanza.
Katika hao wapya kuna mdada mashallah kajaaliwa kalio,
Muziki umekolea watu wamechangamka.
Kijana anajisogeza kwa mdada "Mashallah" anatupa nyavu ,,,anakubaliwa.
Kijana anagharamia...
Mamlaka za afya nchini DRC zimeripoti visa 9,144 vilivyothibitishwa vya Ebola pamoja na vifo 4,410 tangu kuanza kwa mlipuko huo mwezi Mei. Kituo cha udhibiti wa magonjwa Africa CDC kimeuelezea mlipuko huo kuwa wa kasi zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya ugonjwa huo barani Afrika...
Katika ulimwengu wa sasa wa siasa na mitandao ya kijamii nchini Tanzania, neno "Chawa" limeacha kuwa jina la mdudu tu anayetafuta hifadhi kwenye usafi duni. Leo hii, ukiwa na uwezo mkubwa wa kusifu bila breki, kupiga vigelegele hata pasipostahili, na kugeuza mapungufu ya bosi kuwa "ubunifu wa...
Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi:
“Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.”
Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
divorce
gharama
gharama za matibabu
habari
hawezi
hivyo
huwa
jamii
jicho
kijamii
kinga
kulinda
kuomba
kupunguza
kuugua
kuvunja
kuvunja ndoa
maamuzi
mali
matibabu
mume
mume wake
mwanamke
ndoa
ndugu
talaka
ugonjwa
wake
Madaktari Bingwa wa Saratani na wataalamu mbalimbali wa matibabu ya ugonjwa huo, wamekutana Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa kujadili maendeleo na hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo tishio duniani.
Akizungumza katika Mkutano huo, Rais wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa...
Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka.
Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka.
Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
Kwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia.
Kwa asili, binadamu ana silika ya chini kwa chini (subconscious instinct) inayomfanya achunguze mwili wake ili kuhakikisha uko salama na...
Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho.
Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
Ninamaliza mwaka wa tatu Sasa wa kuweka Nia ya kumwacha Kila mara maana ni jeuri sana huyu mwanamke. Tatizo linakuja hapa kwenye huu udhaifu nilionao wa kupenda nyanshi lililonona ambalo huyu mwanamke analo ndo maana ninaye.
Tatizo zaidi ni kwamba huu udhaifu tayari huyu mwanamke anaujua. Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.