Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
Bawasiri (Hemorrhoids/Piles)
Bawasiri ni hali ambapo mishipa ya damu katika sehemu ya haja kubwa (rectum na eneo la haja kubwa) huvimba na kuwaka, na kusababisha maumivu, kuwasha, au kutokwa damu.
Aina za Bawasiri
Bawasiri za ndani – hutokea ndani ya sehemu ya haja kubwa, mara nyingi hazina...
Ugonjwa wa Parkinson ni ugonjwa wa mfumo wa neva unaoendelea taratibu, unaoathiri sehemu ya ubongo inayodhibiti mwendo wa mwili. Unatokana na kupungua kwa seli zinazozalisha dopamine, kemikali muhimu inayosaidia mawasiliano kati ya neva zinazodhibiti misuli na mwendo.
Dalili kuu:
Kutetemeka...
Salaam wanagenzi na wakuu
Kuna baadhi ya watu wanajijua kabisa kuwa wameathirika na ugonjwa fulani wa zinaa, kama Upungufu wa kinga mwilini, kaswende, kisonono nk
Lakini kwa makusudi anajihusisha kimapenzi na watu mbalimbali, akitumia mbinu kama kusisitiza msitumie kinga mradi tu akuambukize...
Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu .
Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ?
Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na wakati mwingine kutaka kujilinda, au kutafuta faida hasa kwenye ishu za pesa, na wakati mwingine mtu...
Ugonjwa wa Presha (Shinikizo la Damu - Hypertension)
Presha ni hali ambapo damu inasukuma kwa nguvu kupita kiasi kwenye kuta za mishipa ya damu kwa muda mrefu, jambo linaloweza kuharibu moyo, figo, ubongo, na macho.
Vipimo vya kawaida:
Presha ya kawaida: chini ya 120/80
Presha iliyoinuka...
## Ugonjwa wa Bawasili (Hemorrhoids/Piles)
Bawasili ni uvimbe wa mishipa ya damu iliyopo kwenye sehemu ya haja kubwa (rectum na anus) unaosababishwa na shinikizo kupita kiasi kwenye eneo hilo.
Aina mbili:
Bawasili za ndani - hutokea ndani ya haja kubwa, mara nyingi hazina maumivu lakini...
# Ugonjwa wa Kansa
Kansa ni ugonjwa unaotokana na ukuaji usio wa kawaida na usiodhibitiwa wa seli za mwili, ambazo huanza kugawanyika bila mpangilio na kuvamia tishu zinazozunguka au kusambaa sehemu nyingine za mwili (metastasis).
## Chanzo cha Kansa
Uvutaji sigara na tumbaku – husababisha...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga.
Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
Kipi nafuu kwa mtu wa karibu anayepitia ugonjwa wenye maumivu makali yasiyo na tiba—aendelee kuishi akiteseka kwa maumivu makali au apate mwisho wa mateso yake ? Swali hili gumu huibua hisia nzito na tafakari ya kina kuhusu maana ya huruma, utu na ubora wa maisha.
Jana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa meter kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea, kwa mbali naona ishara za watu wakistua nimstue yule mama arudie kitu alichodondosha nami sikuelewa tukapishana...
Mimi huku nilipo nimeona maeneo mengi ya wafanyabiashara wa mananasi wanauza na kutoa maganda ya mananasi kuwapa wateja kwa wanaoomba.
Ila nimeona wateja wengi ni wakike wanasema maganda ya mananasi yanatibu U.T.I kama ukichemsha na kunywa maji yake.
Je, kuna ukweli wowote U.T.I inaondolewa...
Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia ushirikiano wa kilimo kati ya China na Kenya, baada ya miaka mingi ya kuona mazao yake yakiharibika...
Habari za wakati huu wana Jamiiforum, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, nimeishi na tatizo la kujikojolea kitandani tangu utotoni hadi hivi sasa ambapo bado sijapona kwa 100% ila namshukuru Mungu nimeanza kupata nafuu kidogo na pia nimefahamu vingi vingi sana kuhusu tatizo hili na...
Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu.
Katika vitabu...
Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.
Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa...
"Ugonjwa mkubwa wa Afrika ni mfumowa vyama vingi. Afrika, amkeni ondoeni mfumo wa vyama vingi, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe kupambania ndoto za watu binafsi sio taifa." - Alloyce, P.R
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29.
Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.